Mradi Wa Ufugaji Kuku Kupitia Tancet Group

lete rimoti

Senior Member
Aug 24, 2021
152
192
Hello Naomba Kuuliza Kwenu watu wa Serikalini na Viongozi wa Tancet be kama mpo humu. Mje Tuelekezane Kuhusu huu Mradi umefikia hatua GANI.?

Lakini pia inaonekana kama watu hawana taarifa vile?!
 
Hello Naomba Kuuliza Kwenu watu wa Serikalini na Viongozi wa Tancet be kama mpo humu. Mje Tuelekezane Kuhusu huu Mradi umefikia hatua GANI.?

Lakini pia inaonekana kama watu hawana taarifa vile?!
Mkuu ungeweka taarifa kwa undani zaidi ili na wasio ijua hiyo TANCET waweze kuijua kupitia wewe.
 
Hello Naomba Kuuliza Kwenu watu wa Serikalini na Viongozi wa Tancet be kama mpo humu. Mje Tuelekezane Kuhusu huu Mradi umefikia hatua GANI.?

Lakini pia inaonekana kama watu hawana taarifa vile?!
Hao watapita mitaani kwenu watakusanya pesa kiasi mtakachoweza kuchanga na miaka itaenda hakuna kitakachofanyika. Kifupi ni wezi wa kivikobavikoba.

Target ni kina mama wale desperate, hawa ni rahisi kuwachukulia alfu 5 zao na kuwajaza upepo.. Nawakumbusha tu kuliwahi kuwepo na taasisi hai kabisa kama DECI na ilikusanya pesa ya kutosha!

Waambieni watu ukweli fanyeni biashara zinazoeleweka. Tafuta mtaji fuga kuku wako uza mwenyewe.
Hao TANCET wapeni miaka mitatu tu wakiwepo njooni mnifunge
 
Back
Top Bottom