Recent content by Sahani20

  1. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Hii ni idadi ndogo ya bidhaa toka Kenya na Tanzania hatuwezi kutengeneza

    Hizo bidhaa kweli ni vitu vya ku discuss kweli hapa
  2. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

    Hali ya kiuchumi imepata mapinduzi ya kushoto, biashara zinafifia
  3. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    Hiyo ni interview au utumbo, Mnyama wa kwenye pesa wa nini, wanaotunga maswali ya namna hii kama ndio tunawategemea kwenye nchi, ni majanga
  4. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Soma upate mawili matatu: Mhitimu mambo ninayopitia kipindi hiki katika harakati zangu

    Pambana, kila mtu ana fungu lake
  5. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa mtumishi wa umma kung'ang'ania ofisi huku umestaafu

    Mzee wew umejenga
  6. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya utapeli

    Cheap content, mbona hii hata siyo mbinu mpya:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  7. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Tumeshasema hatuna Corona, mabeberu mnatufuata fuata nini?

    Ni wivu tu :D :D
  8. Sahani20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inayumbisha uchumi wa vijana

    Hili liko wazi halipingiki, kuoa pia kunaleta ukomavu
  9. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Una makundi mangapi ya WhatsApp?

    Sawa
  10. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipiga sana ila ninataka kutengeneza 50m kabla ya mwaka huu haujaisha

    Hongera mungu akutangulie, Wadada wenye makalio makubwa
  11. Sahani20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

    Hebu tupe link ya channel yako turidhike na haya uyasemayo
  12. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Graduate wa UDSM huwa anajiamini popote pale

    Mtoa mada wew nae ni mwepesi, kwa mtazamo wangu we ni graduate aliechanganywa na ujobless, kwahyo vyuo vingine hawajiamini, Haya mawazo mkiwa campus kwamba mkitoka huko mtakua supreme hebu yafukieni vijana.
  13. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Kijana una haki ya Kuchagua Katika awamu ya 5, uishi kawaida kama mimi au Kiunaharakati kama Ka-Flag

    Harakati kwenye jambo gani, kweli shida mwana njaa,
  14. Sahani20

    JamiiForums Tanzania Hakuna hata Mradi mmoja wa Rais Magufuli utakaofanikiwa

    Hata huu mradi wa umeme aliozindua medard kalemani kule geita hautafanikiwa?? Kwamba hautaweza kusambaza umeme??Au unaongelea miradi gani
Back
Top Bottom