Scientists are warning us of the dangers of 5G. Are we going to heed their advice or shut them out and face more serious consequences than COVID-19?

Mkuu hizi assertion zako sidhani una any biological mechanism kuzi backup.

Kama unazo evidence nasio dhahania ndo uzilete mnakuza vitu tu

Milipuko imekuwepo kabla ya Yesu huu sio wa kwanza na hautakuwabwa mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Wambie mkuu ilikuwepo Black death, iliua watu wengi inakadiriwa iliua kati ya watu milion 75 mpaka 200
 
We jamaa unanipa link ambayo naanza tu kuisoma inaniambia
"Let me be as clear as possible: there is absolutely no scientific basis to claim that 5G is the cause of coronavirus."

Halafu jamaa ndoanaanza kuandika pumba zake.

Mimi nimekuuliza to a biological mechanism !! Wewe unanipa link za kilaza mwingine anaeongea bila proof sema huyu kakuzidi kitu kimoja. Ameanza kabisa na kuwaambia wasomaje wake anachoandika ni imani yake isiyo na any scientific evidence
 
Tlg,
Mkuu hivi ni kweli hujui effect ya very high levels of Electromagnetic Radiation kwenye DNA?Anyway,ni hivii,5G produces very high levels of Electromagnetic Radiation.The effect of the very high levels of electromagnetic radiation from 5G is so intense that it separates the two DNA helixes.In short ni kwamba inasambaratisha DNA kabisa.

Hii ina maana gani,ina maana kwamba the immune system is completely destroyed. 3G na 4G zina effects hizo hizo,but not so serious.Sasa hali hii inapotokea kwenye a very polluted industrial & chemtrail sprayed environment and where people are vaccinated with the influenza vaccine as is the case in most developed nations,the result is a very compromised immune system incapable of defending the body even against mild infections like COVID-19,and hence death.

Hii ni sayansi,na ndio ukweli mkuu,ukibishana nayo utakuwa utakuwa na matatizo.
 
Sasa tukianza kutumia 5G si ndo itakuwa balaa kama bado tunaisikia tu hali ndo hii.
Mkuu scientists wamesema tuachane na 5G,vinginevyo tutakwisha. Wanasema electrification ya dunia is oalready too high: umeme kila mahali, radars kila mahali,TV waves,Radio waves,3G,4G na sasa 5G,it is simply too much,miili yetu wanasema haitaweza kustahimili,we will simply breakdown kama inavyotokea sasa Ulaya.

Infact these lunatics wana mpango wa kuweka vifaa vya 5G kwenye satellites angani,na mpango huu unaweza kuwa tayari in the next two years. So tunataka hatutaki,na sisi tutakuwa the next America, Iran, China na Europe.

So scary,isn't it.
 
Website ya BBC kuna article inasema hao walioandika hio uzushi ni wapumbavu and and foolish and baseless.
Yaani wanaoamini pia ni wapumbavu.
 
Mkuu hivi ni kweli hujui effect ya very high levels of Electromagnetic Radiation kwenye DNA?Anyway,ni hivii,5G produces very high levels of Electromagnetic Radiation.The effect of the very high levels of electromagnetic radiation from 5G is so intense that it separates the two DNA helixes.In short ni kwamba inasambaratisha DNA kabisa.Hii ina maana gani,ina maana kwamba the immune system is completely destroyed. 3G na 4G zina effects hizo hizo,but not so serious.Sasa hali hii inapotokea kwenye a very polluted industrial & chemtrail sprayed environment and where people are vaccinated with the influenza vaccine as is the case in most developed nations,the result is a very compromised immune system incapable of defending the body even against mild infections like COVID-19,and hence death.

Hii ni sayansi,na ndio ukweli mkuu,ukibishana nayo utakuwa utakuwa na matatizo.
Akili za msomi hohehahe!
 
Akili za msomi hohehahe!
Hata wewe unaweza kuyajua haya mkuu,ni swala la kupenda tu kujisomea.And then inaelekea hujui maana ya hohehahe.Maana yake hii hapa:i)watu ambao hawajapata kujifanyia kitu cho chote wao wenyewe .
2.laghai.
3.fukara.
 
Me ningeomba kujua,America mbona hawana 5G lakin ndo cases nyingi??, same as France,
Uingeleza ndo imeanza kuweka 5G lakin figure yake iko kawaida??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwa na akili mfu,maeneo hayo hayo yenye 5G kuna watu wamegua COVID-19 na wamepona.
Mkuu hivi ni kweli hujui effect ya very high levels of Electromagnetic Radiation kwenye DNA?Anyway,ni hivii,5G produces very high levels of Electromagnetic Radiation.The effect of the very high levels of electromagnetic radiation from 5G is so intense that it separates the two DNA helixes.In short ni kwamba inasambaratisha DNA kabisa.Hii ina maana gani,ina maana kwamba the immune system is completely destroyed. 3G na 4G zina effects hizo hizo,but not so serious.Sasa hali hii inapotokea kwenye a very polluted industrial & chemtrail sprayed environment and where people are vaccinated with the influenza vaccine as is the case in most developed nations,the result is a very compromised immune system incapable of defending the body even against mild infections like COVID-19,and hence death.

Hii ni sayansi,na ndio ukweli mkuu,ukibishana nayo utakuwa utakuwa na matatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwa na akili mfu,maeneo hayo hayo yenye 5G kuna watu wamegua COVID-19 na wamepona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani watu wote wanaougua Malaria au Typhoid wanakufa,si wengine wanapona.Uwezo wa miili kustahimili mikiki inatofautiana sana Yoda,equally hata kwenye matatizo ya radiation by Electromagnetic waves.
 
Back
Top Bottom