Recent content by sagamawe

  1. S

    JamiiForums Tanzania namtafuta GRACE JOACHIM

    Namtafuta Maria Mbeghalo. Kwa mara ya mwisho tuliachana Iringa 2002
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Temeke Haina Vyoo

    Naomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kuwa na media yenye habari inayomnukuu naibu waziri wa Katiba na Sheria Mh. Anjela Kairuki kuhusu mahakama ya Temeke kukosa vyoo anisaidie. Natanguliza shukrani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Kama unataka Ushauri wa Biashara tembelea tovuti ifuatayo Enablis Entrepreneurial Network
  4. S

    JamiiForums Tanzania Takwimu za shule za msingi tanzania

    Nahitaji kujua takwimu za shule za msingi kama ifuatavyo IDadi ya shule za msingi tanzania Idadi ya walimu katika kila shule Idadi ya wanafunzi kila shule kwa jinsia takwmu za matokeo miaka kumi iliyopita wilaya kila shule inakopatikana Idadi ya shule za secondary kwa kila wilaya Naomba msaada...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Shemeji, ndugu yako anataka kunigeuza!

    Alitakiwa akuite wewe na mke wako muwashaauri kwa pamoja na siyo wewe ukiwa peke yako. Mwenye mke akijua kama Mke wake amekuambia maswala haya, usishangae urafiki wenu unaweza ukaishia pabaya kwasababu mwanaume atakuwa ana ona aibu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hello

    Una mada gani hapa mimi sielewi?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wachina ni noma aisee,nimeshuhudia live bila chenga!

    Ukitaka pesa bidii na kumwomba Mungu saaaana
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wachina ni noma aisee,nimeshuhudia live bila chenga!

    The Boos ,Naona hujasoma vizuri kasema noti za Tanzania
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naamini mume anapatikana popote..basi nam natafuta mume ishaalah...

    Akiwa mkristo ananafasi hata kidogo?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mke hataki nimpe mimba nyingine!

    ulimuuliza sababu kwanini ataka hivyo akasema je ? Au wewe unataka kulazimisha hata huongei naye unadhani hizi ni zama za mwanaume kuamua tu?
  11. S

    JamiiForums Tanzania mtambo wa kisasa wa kipima presha kwa kinadada!!

    Huyo anaonekana anapressure kabisa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kabila gani nibora kwa kupata Mke ambaye anaweza kufaa nakushi mazingira yeyote

    Jaribu Mhehe, Muha au mrundi
  13. S

    JamiiForums Tanzania nina cheti cha form six chumbani

    Tatizo nadhani unakata tamaa mapema. wewe endelea kuomba kazi tu utafanikiwa siku ya Bwana ikifika
  14. S

    JamiiForums Tanzania Metal ditector Inahitajika.

    Mtafute mwenye number hii anaweza kukusaidia 0713 98 68 00 au 0754 98 68 00 anaweza kukusaidia
  15. S

    JamiiForums Tanzania YESU amenipa kazi UN

    Kumbuka kusaidia maskini pia
Back
Top Bottom