Recent content by Sagacity

  1. S

    JamiiForums Tanzania 2020 Magufuli atapata kura za vijijini na si mijini

    Vijijini ndio majanga kuliko hata mjini! Kule wanaisoma namba mara mbili mbili zaidi ya mjini kwa taarifa yako
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia Ackson kupokewa Dar kwa shamrashamra, ni baada ya kulisimamia bunge vyema

    Kweli ni shujaa kwa ukandamizaji wa demokrasia nchini
  3. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wabunge ndio wana haki na kinga ya kujadili utendaji wa serikali bungeni, sio wananchi

    Bado tuna safari ndefu kidemokrasia! I didn't anticipate.kwa hiyo wananchi wawe kusema ndioooo kama wabunge wa CCM? We are coming from light to the dark!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA Joseph Mbilinyi, Kubenea na James Millya wasimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge

    Kazi ipo kwa awamu hii! Hivi waongo ni wabunge wa upinzani tu? Ccm hawajawahi kusema uongo? Double standards!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Piga Kura ya Lissu kufunguliwa Mashtaka mapya..

    Povu la nini,dola si ya kwenu? Polisi wapo,usalama wa taifa wapo,mahakama zipo,tatizo ni nini? Chukueni hatua kama hiyo kauli ina-irritate
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lipumba aipasua CUF; Z'bar wamkataa,Bara wamtaka.Seif apata wakati mgumu,UKAWA ya Lowasa yajawa hofu

    Maoni yako ni upotoshaji,uongo mtupu! Mbona CUF imepata wabunge wengi bara bila uwepo wa Lipumba?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwako Ansbert Ngurumo: Mwisho wa zama

    Hapa utajua kiwango chako cha elimu ni kidogo sana. Lazima utofautishe utawala na uongozi na utawala/uongozi wa sheria. Tatizo la first 46 Lumumba FC elimu ni ndogo,hawajui tofauti ya uongozi na utawala,taasisi ya urais,utawala wa sheria nk
  8. S

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    Nimejifunza pakubwa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

    Alichokuwa anakitafuta kashakipata,kelele za nini! Hypocricy of the highest order!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Bajeti hii ni chereko chereko

    Sasa Bulembo ataongea nini? Ndo upeo wake wa kuchambua bajeti ulipoishia. Tatizo shule kichwani,tusimlaumu sana.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Neno la Uchochezi: Tunamfuata Kiongozi; Tumechoka Kutawaliwa Tu

    Hiyo ni nidhamu ya uoga! Nchi haiendeshwi kwa kutegemea ukali,ubabe,misimamo na matamko kuwafurahisha wanaokusikiliza,nchi inaendeshwa kwa katiba,sheria,kanuni,taratibu na miongozo. Utawala wa magufuli una mwisho wake,hauwezi kudumu milele,akiondoka madarakani ataondoka na misimamo yake,ukali...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Shein akutana na waathirika wa ubaguzi Pemba, aagiza wabaguzi wafutiwe leseni

    Mliyataka wenyewe akina Shein kisa uroho wa madaraka kwa kubaka demokrasia. Hao wanaobaguliwa source ni Shein la LiCCM lake.lisilo na maana yoyote
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya ni mapema mno

    Una hoja mtoa mada! Analalamika nini,wakati yeye ndio alkuwa mwenye wajibu wa kuondoa changamoto hizo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliremba mwandiko muda haukutosha akafeli... Magufuli hasomi maelekezo, atafeli

    Good presentation! Figurative language,very nice!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Huwezi kusema tunataka nchi ya viwanda. Kuna maswali lazima ujiulize. Mosi,viwanda vipi? Processing(usindikaji) au vya aina gani?. Pili,unatumia rasimali fedha,watu nk ( resources) zipi,kiasi gani za aina gani? Tatu,kuna nishati ya umeme ya uhakika? Kama haipo,una mikakati gani?. Nne,mtawanyiko...
Back
Top Bottom