Daa kweli ndugu haki zetu ni kupiga kura tuu kimaliza kalale huna haki zaidi ya hiyoUitoe wapi hiyo haki?? Mwisho wa haki yako ni kupiga kura tu basi na kuhusu matokeo unatakiwa uakubali yale yatakayotangazwa na Ndugu Jecha.Ole wako ulete fyoko fyoko utashughilikiwa ipasavyo.
Tupe mipaka mjomba, ili tangu sasa tuhoji kwa uhuruTatizo wananchi hawajui mipaka yao katika kuhoji
Bado tuna safari ndefu kidemokrasia! I didn't anticipate.kwa hiyo wananchi wawe kusema ndioooo kama wabunge wa CCM? We are coming from light to the dark!
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema wapinzani wanajaribu kujenga taswira kuwa kuna kuminywa kwa demokrasia nchini jambao ambalo sio la kweli, amesema mbunge hawezi kutoa hoja bungeni na kuzipeleka mtaani zijadiliwe na wananchi
amesema katiba imetoa haki na kinga kwa wabunge kuhoji utendaji wa serikali lakini haijatolewa kwa mwananchi yoyote nchini
Kama ni mahaba basi hayo yatakuwa ya mwendokasi walio semwa vilaza inawezekana kuna ukweliMessage ya mtukufu waziri mkuu iko wazi lkn Nyumbu wanajifanya hawaioni.
Upinzani uchwara