Dk. Shein akutana na waathirika wa ubaguzi Pemba, aagiza wabaguzi wafutiwe leseni

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Rais wa Zanzibar amekutana na waathirika wa ubaguzi wa tawila Kibiriti mkoa wa Kaskazini Pemba ambapo tawi la CCM limechomwa moto na nyumba za wana CCM kuharibiwa na kuwaasa wasilipize kisasi bali wawaripoti polisi wowote watakaofanya vitendo vya kibaguzi
Ameagiza vyombo vya dola kuwafutia leseni wafanyabiashara watakao bainika kuwabagua
 
Mbona kuna watu walikuwa wanasema zanzibar mambo ya vizuri sasa hii nn cc Lizaboni
 
Mliyataka wenyewe akina Shein kisa uroho wa madaraka kwa kubaka demokrasia. Hao wanaobaguliwa source ni Shein la LiCCM lake.lisilo na maana yoyote
 
Mliyataka wenyewe akina Shein kisa uroho wa madaraka kwa kubaka demokrasia. Hao wanaobaguliwa source ni Shein la LiCCM lake.lisilo na maana yoyote
Punguza jazba,wapemba kubagua ndio destur yao,hayo mengine ni sababu tu,hivi unaanzaje kumbagua jirani yako kisa tofauti ya vyama na si kwamba jiran yako ndio yupo madarakan bali ni mtu mwingine kabisa,tatizo akili fupi na za kipuuzi zikitumiks matokeo ndio hayo,wawaambie bas hata hawa wapba waliopo bara watubague sis wabara wasinunue bidhaa kwenye maduka ya.wana ccm na wasiwauzie wana ccm pia!
 
Uroho wa madaraka haya ndo matokeo yake. Vyombo vya dola haviwezi kuzuia hasira za wananchi na huo ni mwanzo tu mengi yanakuja. Wanasiasa wasiojielewa wanatuharibia nchi yetu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
  • Uroho wa madaraka haya ndo matokeo yake. Vyombo vya dola haviwezi kuzuia hasira za wananchi na huo ni mwanzo tu mengi yanakuja. Wanasiasa wasiojielewa wanatuharibia nchi yetu.
It is very true.

Wao walipomuamrisha Jecha afute matokeo ya uchaguzi huru na haki na kupora haki ya kidemokrasia waliyoitumia wananchi kupitia sanduku la kura October 25 ya mwaka jana hawakujua hayo yatatokea?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom