kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
Maoni yangu
Seif Sharif Hamadi anapaswa kujua kuwa CUF bara bila ya Lipumba ni sawa na kuoga maji bila ya sabuni kama haamini hilo asubiri 2020 aone kitakachotokea.
Anapaswa kuachana na wahadhifina wa CHADEMA na kina Lowassa wamemuingiza mkenge, badala yake angalia wapi alipojikwaa ili ajenge CUF mpya na wana CUF, akumbuke kuwa wahenga walinena yaliyopita si ndwele wagange yajayo.