Recent content by Sadma

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kujifungua kwa njia ya upasuaji

    Suala sio mpasuaji mzuri inategemea na tumbo ulilokuwa nalo na jinsi utakavyoji tune baada ya upasuaji kwenye masuala ya mlo. Mie nilipigwa kisu na Mimba yangu tumbo lilikuwa kubwa c mchezo baada ya kujifungua sikulifunga na nilipasuliwa vzuri tena chini kabisa kuelekea kwenye kibofu na sio...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Revenue Authority Employment Opportunities

    Mmh! Mkuu deadline hukuona kama ni February??
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Pole sana, nenda Hospital kubwa ukafanyiwe checkup zaid ili upate matibabu sahihi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Acha ubishi,mie mwenyewe nilishatafuta hayo majani ila kabla ya kutumia nikam consult Dr kwanza akasema hayo majani sio ya kujinywea tu lazima ujue ingredients zilizotumika na blood group lako km vnaendana na mambo mengi tu ambayo siyakumbuki so acha ubishi ndugu na hyo mijani ya kichina
  5. S

    JamiiForums Tanzania miezi 11 bila kazi

    Mh,mdogo wangu hata shue hujamaliza unawaza kazi!!!! Unanijua huwezi kufaulu nn!!!!! Anyway,tafuta madumu ufanye kazi ya kuuza maji
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni tafadhali....!

    Thanx ndugu yangu Riwa now nimeelewa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni tafadhali....!

    Kiukweli niikuwa nakula bila mpango, Thanx kwa ushauri nitaufanyia kazi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Latest Jobs in Tanzania today

    Heeee!!!! Jamani unayo hata calendar mkuu? Duu....! Ila atleast umeonesha nia though ni outdated
  9. S

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Atleast leo mmejifuta ile aibu kidoogo. Hongereni fans wa Arsenal though mnachechemea bado
  10. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu maana ya baadhi ya misamiati ya Kipare

    Wana JF kio chedi,nishinjia iki, Tunevonana yavo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu maana ya baadhi ya misamiati ya Kipare

    Uitangwa ani?=unaitwa nani? Utonga hiyo?=unaenda wapi? shigha du=acha tu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu maana ya baadhi ya misamiati ya Kipare

    Haiki kindu uthikiman'je uteta cha'ni?? Shigha mongo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu maana ya baadhi ya misamiati ya Kipare

    Ana roho mbaya kama mchawi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni tafadhali....!

    Nilijifungua 2008 kwa kisu so sikuweza kulifunga tumbo bcoz ya kidonda cha operation, sinc then tumbo langu ni kubwa , nifanye nini ili kulipunguza?Maana hata nguo hazikai fresh mwilini shauri ya tumbo. Nisaidieni pls
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ajira ngumu jamani

    Ajira mbona zipo!!!! Labda km we unasubiri ya kuajiriwa. Ukingoja sana utajikuta umri umeenda bora uanze na kujiajiri
Back
Top Bottom