Fahamu maana ya baadhi ya misamiati ya Kipare

kipunde ni kini?
Kipunde ni kijaluba cha kuwekea ugoro. Kule upareni wanatumia vichupa vidogo au kitu kama kakibuyu. Bibi kizee utasikia anomba aletewe kipunde.
LAKINI
Neno hilo limegeuzwa matumizi kama walivyogeuza matumizi kule kwetu Tanga. Nyumbani kwa bibi Mjasani neno 'kuni' ni kipande cha mti kinachotumiwa kuwasha moto. Kikiwa kimoja kinaitwa Ukuni. Tatizo linakuja kuwa ukiwa mabawa polisi au makorora halafu ukataja neno ukuni,unaweza kuachiwa radhi!

NGURUVII= KUKU WA KIUME
Ha ha ha ha! nimecheka flora! sasa kuku wa kiume si jogoo!!! wakike mtetea
Anyway kuna kwa kabila lingine ikimaanisha mungu (watu 4 wamewasiliana nami kwa hilo)

King'asti ukezie va kwea vose, flora yavo ni msi wa mfumwa kutogolwa. Ivuga wemkundie ule m'bora ena izi ledi wa cloud

hahaha,nguruvi nahavache. ighuo ni mtaso mtondo ni ndima. nikundie vakwea vose mira vena tabia mbivi! mira nnetasa mhaka vaoke vedi,lol
Ha ha ha ha! nimecheka flora! sasa kuku wa kiume si jogoo!!! wakike mtetea

Anyway kuna kwa kabila lingine ikimaanisha mungu (watu 4 wamewasiliana nami kwa hilo)

King'asti ukezie va kwea vose, flora yavo ni msi wa mfumwa kutogolwa. Ivuga wemkundie ule m'bora ena izi ledi wa cloud

Jakaya =Za Nyumbani

Kikwete = Asiyejali

Namnani Havae = Vipi Aisee

Uitwanga nani? = Unaitwa Nani?

Watonga wapi = Unaenda wapi

Nigavie Havae = Nigawie Aisee(Jamaa)

Nienda kukodhoa kidogo = Naenda kukojoa Kidogo

Harika!!! = Kuonesha Mshangao!

M'bora = Mwanamume (Mvulana)

M'bwange = Mwanamke (Msichana)

Shiga Du! =

Iki..

N'zhoo = Njoo
Uitangwa ani?=unaitwa nani?
Utonga hiyo?=unaenda wapi?
shigha du=acha tu

aho he bold wan'shigha kadori,lol
afu ngondo ni ndima kana ni kini?
weeh unaongwa vigumu banaa
Uihate = umepakata, IzhaKa= Kama kile ktu cha kuwekea mishale(hapa ni silaha), ngondo=vita

Ngondo inatumika na makibali mengi, hata kule mkuzi kwa shangazi wabondei tunatumia pia

Egaya chasu nedho mira etuira ni Mshamba wa Makorora, Ndanga!
Comp. tuongee kijita nikueleze habari za akina wachamawe, waongera. Jah miru nja ksiraa n.k kutoka kule majita, Nyakatende na Mgango jineri
au basi twende kule Mlimba kwa waluguru tupitie man'gula, zignali.
Tutakunywa chai viwanja sitini pale ifakara, halafu twende kwa shemeji pale kidogoabasi.

Ukijua makabila ni raha sana, hasa lugha zao kwasababu ndizo zinabeba utamaduni.

Utashangaa nikikuambia hakuna kabila la wachaga ila lipo shrikisho la wachaga kwa vielezo mifano na ushahidi. ha ha ha ha!
Sisi warombo ni tofauti na wamachame hasa wale wanaoishi eneo la kanisa la alpha na Omega....... n.k

Similar Discussions

Back
Top Bottom