miezi 11 bila kazi

deni

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
255
177
mimi ni mwanafunzi wa 4m 4 kibaha sec.ninatarajia kuhitimu mwezi wa 10.pia ninatarajia kujiunga na technical college na sio A-level,hivyo kwenda tena kusoma ni mpaka mwezi wa 9 mwakani.tatizo ni kwamba sijajua nitafanya shuguli gani kwa muda huo wote wa miezi 11.nimefikiria kufundisha:masomo nayaweza lakini sina confidence kwakua ninaonekana mdogo sana kiumbo.sitaki kuupoteza huu muda.tafadhali wana JF naombeni msaada wenu.

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,787
9,115

msaada gani unataka?

OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,239
800
mimi ni mwanafunzi wa 4m 4 kibaha sec.ninatarajia kuhitimu mwezi wa 10.pia ninatarajia kujiunga na technical college na sio A-level,hivyo kwenda tena kusoma ni mpaka mwezi wa 9 mwakani.tatizo ni kwamba sijajua nitafanya shuguli gani kwa muda huo wote wa miezi 11.nimefikiria kufundisha:masomo nayaweza lakini sina confidence kwakua ninaonekana mdogo sana kiumbo.sitaki kuupoteza huu muda.tafadhali wana JF naombeni msaada wenu.

Saidia wazazi kazi za nyumbani,kwa elimu yako wategemea kazi gani.

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,480
2,124
iyo elimu utafanya kaz gani? watu na degree zao hawajapata kaz! je wewe f4 unategemea nini? jifunze kunyoa utafute salun au kuwa mama ntilie ndo kaz znazokufaa au uza vocha

dane

Member
Sep 2, 2010
8
1
I think at that level of education,you can only do unqualified jobs(exceptions herein considered).Just make up your mind and get down to business-kuwa kinyozi,mama ntilie,safisha jiji au hata Kondakta.Do anything-just do not idle your time away

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
543
37
No mi nadhani just do somthng ambayo ni mwanga wa kile unachotaka kukisomea huko techngue.kwa mfamo unataka kusomea ufundi redio i mean software jiunge na watu wa komputar au radio uanze kupata knwldge kabla ya kwenda kusomea.wapo kibao wamewekeza mitaani.

Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,864
5,422
Mwambie ticha Mgina akupe theory of Floatation...halafu muone Mwampaja atakusaidia tu ukishasain lile daftari...hahaaa

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,927
1,777
mi ushauri wangu ni kama mkuu aliposema juu ya ufugagi wa kuku wa kienyeji,mbuzi kwa mana wana ukuajia wa haraka na watakuletea faida kubwa kwa hiyo miezi 11 almost 12 tuseme...bila shaka ni muda wa kua apply agriculture uliosoma kwa ajili ya ujasiriamali.ni hayo tu mkuu.

SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
299
mdogo wangu acha uwoga..kama uneza kufundisha mbona shule za kata kibao..tena umetoka kibaha ni shule nzuri watakugwaya kuanzia headmaster adi makamu wake...kafundishe ata THE SQUARE ROOT OF 29 IS......KIPINDI KIMEISHA...HAKI ELIMU

Lucci

Member
Sep 3, 2011
33
16
mimi naona utaribu kutafuta field/volunteer kama kwenye NGOs hivi uwe unafanya kama training.
Pia unaweza ukatafuta tempo ya kwenye makampuni ya ICT na Construction/civil kwani huwa wamakua na kazi za tempo

Sadma

Member
Sep 10, 2011
20
4
Mh,mdogo wangu hata shue hujamaliza unawaza kazi!!!! Unanijua huwezi kufaulu nn!!!!! Anyway,tafuta madumu ufanye kazi ya kuuza maji

deni

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
255
177
Mwambie ticha Mgina akupe theory of Floatation...halafu muone Mwampaja atakusaidia tu ukishasain lile daftari...hahaaa

sijakuelewa unamaanisha nn,mgina na mwampaja ni walimu wa A-level.hebu elezea vizuri.

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,787
9,115
mimi naona utaribu kutafuta field/volunteer kama kwenye NGOs hivi uwe unafanya kama training.

Pia unaweza ukatafuta tempo ya kwenye makampuni ya ICT na Construction/civil kwani huwa wamakua na kazi za tempo

mpigie pande dogo. Si unajua kibongo bongo!

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom