Heshima kwenu Madaktari, naomba kujua ukomo wa umri wa mwanamke kuzaa.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33. Nimekuwa na uhusiano na mabinti wa umri chini yangu ila wamekuwa wakiniacha kwa sababu ambayo ipo nje ya uwezo wangu kuirekebisha.
Kutokana na mimi kuwa na hamu ya kuitwa...
Kwa kweli hii bara bara ni kero kwa vumbi. Kinachonishangaza ni mji wa Mwanza kuwa na mawe mengi ila badala wangekuwa wanaweka kokoto kwenye barabara wao wanaweka vifusi vya vumbi.
Nashauri mkoa ununue crusher la kutengeneza kokoto ili barabara zote za vumbi Mwanza ziwekwe kokoto. Ni aibu kubwa...
Watu wana roho mbaya kweli. Wanadiriki kuchakachua hata mafuta ya kitu sensitive kama ndegr!. Wanataka izimike ikiwa angani kisha idondoke na kuua watu ama!.
Tatizo la ardhi imekuwa ni changamoto kwa Tanzania nzima. Binadamu wanaongezeka ila ardhi haiongezeki. Kupata kiwanja kilichopimwa sasa hivi imekuwa ni issue. Baadhi ya mikoa havipatikani kabisa na hata vikipatikana bei yake haikamatiki.
Ila nadhani watu wa ardhi inabidi waamke sasa. si kukaa...
Hao marubani wangeangukia mikononi mwa ISIS sijui wangekufa kifo cha namna gani!!!.
Na hao waasi wa TURk kama wanafungamana na ISIS ni lazima watawakabidhi kwao tu. Hapo ni mwendo wa kuandaa koromeo kukatwa.
Natamani sana ile katiba ya Wananchi iliyokuwa na kipengele cha uwepo wa mgombea binafsi ingepita ili Maghufuli agombee pasipo na chama next election. Nadhani Mh.Maghufuli angekuwa hana chama chochote angefanya kazi kwa nguvu zaidi. Kwa namna moja ama nyingine Mheshimiwa atapunguzwa kasi na...
Mtoa mada nadhani hujui vita hii ya syria ilivyoanza. nadhani ilitakiwa umlaumu Assad kwani wakati wa vuguvugu la kutaka mabadiliko aliua watu wengi sana wazee,watoto,wanawake n.k kwa kutumia ndege na hata vifaru.
pia sijui kwa nini huwalaumu hao ISIS ambao waliuwa wanajeshi wa Iraq takriban...
Baada ya kumaliza zoezi la bomoa bomoa inabidi wizara ya ardhi iamuru kila manispaa kupima maeneo na kumilikisha wananchi.
Tatizo ni kwamba kupata ardhi iliyopimwa ni shida sana. Na hata watu wa jiji wakishapima huwa wanagawana viwanja wao,ndugu zao na watu wa karibu yao then baadae wanakuja...
Sambamba na hilo tunataka kujua barabara ambazo zimejengwa kwa kodi zetu kwa %100.
Maana ukiangalia barabara nyingi zimejengwa kwa mikopo ama misaada wa wafadhili.
Nchi imekopa ikasababisha deni la taifa kupaa halafu wanajisifu!!!!.
Kodi zetu wanaishia kununua mashangingi na kufanya hafla...
Hivi wakiuana waislam kwa waislam wenyewe ni sawa!!!!. Maana sijaskia nchi teyote ya kiislam ikilaani mauji haya ya Iraq na hata kule Nigeria japo wameuwawa watu wengi. Ila ingetokea Mpalestina mmoja kauwawa ungeuskia mtiti wake
R.I.P our fellow Christians.
Siku ya kusulubiwa kwake Yesu alisema kwamba. Nasi tutateswa na kuuwawa kwa ajili ya Ukristo wetu. Ila atakuwa nasi hadi mautini na siku ya Mwisho atatufufua.
Al shabaab ni waislam. ila sijui ni shia ama suni!!. ndio maana walikuwa wanawashoot non-muslim kwenye hilo tukio.
Nadhani imefika mahali na sisi wakristo tuanze kujihami. Maana tuendako tutakuja kuandamwa kama ndugu zetu albino wanavyouwawa sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.