Ufaransa wanaua watu Syria Dunia imekaa kimya

Ufaransa wanaua watu Syria Dunia imekaa kimya

TUtayamalize kwanza ya Zanzbar, halafu pia tunataka uhuru wa kuhudhuria misibani, yale ya kule mwanga na sasa kwa Mawazo!! Inauma sana!!
 
Wazungu wanaoua watu si hawa waliotuletea
-Ushoga
-Walio tuletea shanga nasi kuwapa madini
-Walio mrushia ndizi etoo na drogba
-Waliotuletea ukimwi na ebola
-Walio tuletea net za matundu makubwa
-Walio dumaza akili za wasomi kwa mitaala mibovu

Inaniuma sana kuona waafrika tunaoitwa nyani na bara la giza kuunga mkono vitendo vya mauaji ya Waislamu na Wasio waislamu ndani ya Ufaransa na nje ya Ufaranza.
 
Mtoa mada nadhani hujui vita hii ya syria ilivyoanza. nadhani ilitakiwa umlaumu Assad kwani wakati wa vuguvugu la kutaka mabadiliko aliua watu wengi sana wazee,watoto,wanawake n.k kwa kutumia ndege na hata vifaru.
pia sijui kwa nini huwalaumu hao ISIS ambao waliuwa wanajeshi wa Iraq takriban 1500 kwa mkupuo na kuwazika kwenye kaburi moja na mbaya zaidi walikuwa ni waislam wenzao wa Kishia.
Sioni ukilaumu nchi kama Saudi Arabia inavyowaua raia wasio na hatia huko Yemen.
Umesahau hata kuwalaani Isis maana kule Ufaransa kwenye ule mgahawa waliwaua wale akina dada wa kiislam.
 
gaidi unamshambulia kwa ndege?,sawa na kuua nzi kwa kutumia mashine gun,
upotevu wa resource tu,

Ulitaka watumie nini? Maisha ya magaidi hayana thamani wanaua na kujiua wao wenyewe hivyo ukiweka troops on the ground Ni kama Kazi bure na FYI troops on the ground ni gharama kuliko matumizi ya ndege.
 
gaidi unamshambulia kwa ndege?,sawa na kuua nzi kwa kutumia mashine gun,
upotevu wa resource tu,
kama fedha ipo hata ukiua nzi kwa risasi sawa tu
ilimradi usikope fedha ukafanya kazi hiyo
 
Haya makundi ya isis wame create wenyewe na wanawapa silaha, tumeona ndege za American zikiangusha silaha huko majagwani, hata miripuko ya ufaransa wame fanya wenyewe kwa ku sacrify watu Wao ili waweze kutimiza haja zao.
 
Weka Post yako uliyowalaani ISIS baada ya kuwapiga wafaransa.
 
tatizo ni kwamba france imeua mpaka raia wasio na hatia
 
well said, Isis imeshakuwa janga la kidunia, kama mtoa mada angekuwa kwenye viatu vya wafaransa angefanyaje? wakati ufaransa wanaenda Syria tayari ulishakuwepo umwagaji damu( sio kwamba umeletwa na wafaransa) naomba mtoa mada atusaidie kuwa hao Isis wanapochinja watu(waislamu wakiwemo) wanataka kuachieve nini


na kuuwa raia wenye hatia je? tena zaidi ya wale waliouwawa ufaransa
 
kwa nini wasyria hawakimbilii saudi, qatar, iraq etc, badala yake wanakimbilia UFARANSA HUKOHUKO?

Hizo nchi zimekaa hazitaki mkimbizi yoyote toka nchi za kislamu,na ukienda unarudishwa
 
Wapigwe tu kwani magaidi wote ni waislam ila waislam wote si magaidi.mwislamu hafai kbs hapa duniani. ni wa kuogopwa kama ukoma

islamophobia at peak,,,,,,,,,Sishangai hata kidogo!
 
Baada ya shambulizi la 9/11 lilofanywa na wayahudi usa ikapata ridhaa ya kuivamia afghanstan,Baada ya vita ya ghuba 90s silaha za maangamiz ambazo hazikuonekanwa ikawa kigezo kuivamia Iraq same to Paris attack,Libya etc,jiulize nini REASON BEHIND?tafakari
well said "IF YOU WANT TO KILL A DOG GIVE IT A BAD NAME"
 
Na wapigwe hasa. Nani aliwaambia wachokoze wenzao. Kulalamika tuuuu... wakati wale watu 159 wanauwa bila hati Ali Mohamed ulisema nini?

Wawaue hao magaidi hata kama wapo laki. Hakuna cha haki wala ndugu yake. Na kama wamejichanganya na raia pia wauwawe na wao maana ndo wanawapa ngao (human shield)!!

Basi usiseme hivyo ukidhani labda kwa ukafiri wako SHAYTWAAN anakupenda au labda kwa weusi wako basi wazungu wanakupenda pia!
 
mtoa post!
-->>umeshashuhudia jihad-John akiwachinja wanaadamu kama kuku?
 
Wazungu wanaoua watu si hawa waliotuletea
-Ushoga
-Walio tuletea shanga nasi kuwapa madini
-Walio mrushia ndizi etoo na drogba
-Waliotuletea ukimwi na ebola
-Walio tuletea net za matundu makubwa
-Walio dumaza akili za wasomi kwa mitaala mibovu

Inaniuma sana kuona waafrika tunaoitwa nyani na bara la giza kuunga mkono vitendo vya mauaji ya Waislamu na Wasio waislamu ndani ya Ufaransa na nje ya Ufaranza.

Mbona hukemei maovu wahindi mnayotufanyia Tz/Africa? Mbona huzungumzii maovu waarabu waliyofanya enzi za utumwa na kwenye kueneza dini yao?

Mnataka ionekane Ufaransa wanawaonea Syria/ISIS wakati wao wanalipiza tu kisasi kwa uchokozi/ugaidi waliofanyiwa...!!
 
Back
Top Bottom