Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
CCM ndo wanaisoma namba!
Hakika mchimba kaburi kaingia mwenyewe. Nikikumbuka zile nyimbo za bashasha za kuisoma namba na hofu iliyotanda ndani ya vigogo wa chama na serikali kwa sasa naishia kucheka tuu.
Yupo jamaa yangu aliposikia lile katazo la safari za nje aliishia kusema "mama yangu, tumekwisha!" Nilipomuuliza kwa nini aliishia kunikata jicho kali kweli. Ila nilielewa kuwa nami vile vijizawadi kila akirudi ndio vimefikia ukomo.