Pol Pot
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 983
- 487
Auae kwa upanga naye atakufa kwa upanga
Huu msemo umeupata wapi?
Mbona PAULO ALIUWA KWA UPANGA Wafuasi wa YESU ZAIDI YA MILION 2 lkn Aliuawa kwa kuchomwa moto kule ROMA?
Auae kwa upanga naye atakufa kwa upanga
Pol Pot, naona damu inazidi kuwagika kwako theoretically.
Hivi unasapoti mafunz wanayopewa watoto misikitini??
Btw, napita.....
Pol Pot, hii nchi ama hakika inawapa uhuru sana ninyi ndugu zetu waisilamu. Tatizo tu mnautumia ndivyo sivyo mkidhani mnakandamizwa!
Btw, nikuulize swali,
Kwa mfano kundi la Boko haram ama ISIS yakiibuka hapa Tanzania, utatoa neno kwa waisilamu wenzio kuunga mkono mauaji wanayoyafanya?
Je, utashirikiano nao kwa kutoa hifadhi, chakula na mengineyo?
aisee!.........
Kuwa mwislamu ni adventure nyingine..
Mbona mengine yanaibuliwa from nowhere?
Hivi mwaka 1960 hii nchi ilikuwa na Islams ngapi?
sasa mr Pol Pot, uhuru mmeshauleta, sawa!
Wewe kama muislamu, umelifanyia nini taifa hili ama una mpango gani na taifa la Tanzania??
Get a life young man.Mkuu umesema ukweli hapa.
Na kuna watu wanalipwa hela mbuzi sana kufanya kila mzungu anachokitaka.
Mfano hai ni hawa waafrika wenzetu njaa km huyu TanzaniaLaw na mumewe Ishmael.
Hawa ni katika wale vibaraka wenye kutumwa kwa kupewa hela ya kula tu kuwakashifu waafrika wenzao na kuwatukuza wazungu usiku mchana.
Hata wake za wazungu hawafanyi bidii kama huyu jamaa.
Alikuwa na kesi kubwa ya Utapeli pamoja na baadhi ya watu wa familia yake jamaa wanasema alitupwa ndani miaka kadhaa lkn alipotoka akawafuata hao hao wazungu na kuwaapia kuwa atafanya kila wakitakacho.
We kama huniamini tazama nyuzi zake uone. Yaani kama mke mjane. anahaha kila kona kukashifu watanzani na kuwaletea Uchonganishi wa kike.
Ni bahati tu kuwa watanzania wengi sasa wana Busara kuliko mapashkuna kama huyu la sivyo watu wangeisha umizana.
Halafu ukitaka kujua huyu ni nyoka basi mtazame anavyojificha.
Sura yake anajua akiitoa tu wapenda amani watamuweka katika ukurasa wa kwanza na jisura lake limechanuka nyakanyaka.
Sikia mapovu yake sasa ili uamini nini nasema.
Watu wanafiki kama hawa wakifa hata ndege wa mwituni wanashukuru.
Get a life young man.
Have you got one Ishmael ?
What you have Is a life of moronic
full of disapprobation and enmity towards my countryman.
Your open exasperation brought up from a hissy fit and wicked philistinism family shows huff openly simply because a whiteman had you on bargain-basement
You are nothing but nonsensical who's aim is to bring disaster and tragedy in my Country.
Shame on your mother who trump up pernicious and rancorous kid like you.
Mpango wangu ni Kuwafundisha watoto wetu wote kuwa Mungu sio MZUNGU. wala sio Sanamu la Mzungu. Bali MUNGU NI MMOJA HAJAZAA WALA HAJAZALIWA, WALA HANA ANAEFANANA NAE KTK Ufalme wake. Hilo ni la kwanza.
La pili Ni Kuwafundisha Wananchi wenye Elimu Finyu kuwa watu km Gwajima Na wengineo wa namna yake Ni Wasanii tu wanachumia Tumbo, hawana uwezo wowote wa Kufufua Wala kuponya mgonjwa wala Kusamehe yyt ktk hii dunia. Wao wenyewe ni wafanya madhambi WAKUBWA.
Na pili Kuweka Sheria kali kwa hawa WACHUNGAJI wanaolawiti WATOTO WADOGO MAKANISANI ikiwemo Sheria Ya KUNYONGA muhalifu Atakapo kamatwa.
Baada ya Wananchi kuupata weledi Huo Ndipo Tutaanza kuwahimiza Watu mambo ya Maendeleo na Maisha bora.
Lkn tusipotibu Vichwa vya watu kwa haya maradhi ya Upotovu hakuna Mtu ataweza Kukaa na Kufikiri Masuala ya Maendeleo manake Kila kidogo atakachokipata anakipeleka Kwa Matapeli Kina GWAJIMA na Kuwaacha wao wakitembelea Helicopter wakati wao hata hela ya kula hawana.
ISIS wanasema mungu ni mmoja..
Marekani na Ulaya walivyomtoa Gaddafi na kuamua walidhani wamemaliza kila kitu hayo ndiyo matunda yao Wakirsto zamani walikuwa wtanaishi vizuri tu nchini kwao Libya.
Na wewe unasema miungu watatu.
Na ISIS wanateka na kubaka wanawake, wanachinja non believers, war mongers, wanaendesha utumwa wa MTU mweusi.
Kumbe tatizo sio mungu wangapi. Unaweza kuwa na mungu hata idadi ikafika 40, na Bado ukawa MTU mwema na usiye hatari katika Jamii.
Kwa fikra zako mungu akiwa mmoja ndiye bora kuliko miungu wa3. Labda ndio kaonesha umwamba kuwa anafanya kila kitu peke yake hakuna kusaidiwa.
Ironically record zinaonyesha Mungu huyo Umekuwa akisaidiwa na wanadamu. Yeye hafanyi kitu, ila wako wanaompigania. Wakiua watoto, wanamsifu yeye Sifa za bure. Wakati wala hajaja hata na panga kumchinja MTU .
Wachungaji sio Mungu. Ni wanadamu, kama wewe.Sasa unaniambia mimi ili nikusaidie nini.
Ya wachungaji kulawiti watoto wenu kila siku huyaoni sio?
Ya mataifa ya kikafiri kutengeneza silaha za maangamizi na kuanzisha hivyo vita huyaoni sio?
Umeanza kuwa na Xenophobia kama wale jamaa wa SouthAfrica. Kwa taarifa yako Vita pale Arabuni ndio Ghetto kwao tangu enzi ya mudi, mudi mwenyewe anafariki anaacha vita inapiganwa. Tangu kale mpaka kuja kwa ottoman empire. historia ya Arabuni ni vita kwa kwenda mbele. Ndio maana hata Mungu wako anadumisha huu utamaduni mpaka leo. ikiwemo kuwafanya blacks watumwa.Hizi vita kabla ya Makafiri kuingia huko Gulf zilikuwepo?Toka mwanzo kabisa wa vita vya irani na iraq wamarekani walikuwa wanapeleka maandazi Iraq na kuchochea moto wa kupikia dodoma wine sio?
Pia unanipa implication kuwa Mungu mzungu ni mwerevu sana na mkuu sana kuliko mungu wao. Ndio maana anaweza kuwagombanisha believers mbele ya mungu wako. It seems believers they don't believe they follow maagizo ya mungu mzungu.Kama hayo matendo una hakika yanafanyika huku na yamekukwaza nenda kawaambie ISIL wenyewe hayo madai yako if you got the balls.Na kama unaogopa kwa sababu wewe ni kuku watumie japo barua pepe kwenye Website yao.
In case you didn't know there is over 3000 EUROPEAN CITIZENS recently JOINED ISIL.! And I'm talking about Indigenous Europeans. You tell me now isn't the very same people teaches your grandpa to worship a white man's statue? Or these are deferent.
Kabla ya kundika shirikisha kichwa.