Wakati sisi tunaadhimisha Idd Mubak watu 100 wauwawa Iraq!!

Status
Not open for further replies.

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,643
Inahofiwa kuwa takriban watu 100 wakiwemo watoto kadha wameuawa kwenye shambulizi la bomu kwenye soko moja lenye shughuli nyingi mashariki mwa Iraq Shambulizi hilo ambalo lilitokea katika mji wa Khan Bani katika mkoa ulio mashariki mwa nchi wa Diyala lilitokea wakati watu walikuwa wakisherehekea kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Polisi walisema kuwa mshindo wa mlipuko huo uliangusha nyumba kadha na miili ilikuwa bado inaondolewa kutoka kwa vifusi. Hakuna kundi lililotangaza kuhusika.
 
Tukisema jambo fulani wanasema tunawatukania imani yao bora tukae kimya na kuwaombea ili Mungu awafungue macho waone hicho wanacho kiamini si sahihi
 
Tukisema jambo fulani wanasema tunawatukania imani yao bora tukae kimya na kuwaombea ili Mungu awafungue macho waone hicho wanacho kiamini si sahihi

Wasipomkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wao watapigana mpaka Mwisho wa Dahari.
 
wote nyinyi amjui kitu kinaitwa ecosystem, nchi za kiarabu tangu kuumbwa kwake hazikutakiwa kuwa na population kubwa. Sasa kwa kuwa watu wamezidi,nature system inabidi kubalance ndio maana unawaona wanachinjana wakisharudi kwenye level ya watu laki moja mpaka milioni ndio patatulia.
 
Siyo Iraq tu, hata huko Pakistan, Afganistan, Yemen, Syria, Nigeria kote huko ni kabooom kabooom.
 
wote nyinyi amjui kitu kinaitwa ecosystem, nchi za kiarabu tangu kuumbwa kwake hazikutakiwa kuwa na population kubwa. Sasa kwa kuwa watu wamezidi,nature system inabidi kubalance ndio maana unawaona wanachinjana wakisharudi kwenye level ya watu laki moja mpaka milioni ndio patatulia.

Kuuana sio nature system. Hiyo theory yako haina mashiko. The bottom line is Shetani anawatumia over. The devil came to kill and destroy and this is what is done by these Islamic fanatics. They are agents of devil.
 
wote nyinyi amjui kitu kinaitwa ecosystem, nchi za kiarabu tangu kuumbwa kwake hazikutakiwa kuwa na population kubwa. Sasa kwa kuwa watu wamezidi,nature system inabidi kubalance ndio maana unawaona wanachinjana wakisharudi kwenye level ya watu laki moja mpaka milioni ndio patatulia.

Mungu alisema tuzaane tuongezeke tuijaze Dunia.Kwa sasa Dunia haijafika hata Robo ya Ujazo.Hayo mauaji ni Pepo Chafu linalozunguka Kwa Waarabu na Wafuasi wao.Ipo haja ya Kutafakari Imani yao kama inaendana na uhalisia.
 
Ni kweli kabisa. Imefikia mahali pabaya na kama hii chuki itahubiriwa kwa watoto Kama ninavyoona sasa basi Amani hapa duniani itakoma.
 
Hali ya iraq mpaka kufikia hapo inajulikana kbs kuwa tang nchi hyo ivamiwe na usa haijatulia
na pia israel imewafadhili pakubwa hao magaidi hilo lajulikana iraq haikua hivyo enzi za sadam
 
Nilijua tu utasingizia Marekani na Israel ninyi mtakuwa Mapimbi mpaka lini yaani kila mnapouana hamkosi kusingizia nchi nyingine hivi ni nani aliyewaroga???????
Hali ya iraq mpaka kufikia hapo inajulikana kbs kuwa tang nchi hyo ivamiwe na usa haijatulia
na pia israel imewafadhili pakubwa hao magaidi hilo lajulikana iraq haikua hivyo enzi za sadam
 
Wewe ndiyo unaonekana ni mmbeya sana yaani hukuona dhamani ya wale watu 100????au ni kwa sababu They died in the name allah?????????Jamaa mwishowe mtamalizana bure.
acha umbea ww wametajwa mia ushasema 1000 mchochez kwel ww
 
Wewe ndiyo unaonekana ni mmbeya sana yaani hukuona dhamani ya wale watu 100????au ni kwa sababu They died in the name allah?????????Jamaa mwishowe mtamalizana bure.

huna akil kbs cjui umekula maharge ya wp unajamba ovyo huku jf huna aibu
unakoment mavi yako meuc 2 hapa
 
Hivi wakiuana waislam kwa waislam wenyewe ni sawa!!!!. Maana sijaskia nchi teyote ya kiislam ikilaani mauji haya ya Iraq na hata kule Nigeria japo wameuwawa watu wengi. Ila ingetokea Mpalestina mmoja kauwawa ungeuskia mtiti wake
 
Unatakiwa uwe na ubongo wenye afya na akili inayofanya kazi...ili uweze kuzielewa propaganda za ulimwengu huu wa sasa......Kwa kifupi watu wanatakiwa wasiongozwe na matukio na kutoa maoni yao kufuata mihemko yao ya chuki juu ya dini fulani....bali kinachotakiwa ni kutuliza akili yako na kutafakari matukio yenyewe na uyalinganishe na hali halisi....
Vyombo vingi vya habari vimejikuta vimetopea kwenye tope la propaganda za Amerika kiasi kwamba imekuwa ni ngumu kuziamini habari zao.....
Kwa mfano matukio mazuri yanayohusu kundi fulani huwa hayatangazwi sana au kabisa....lakini mabaya yao ndio yanakuwa breaking news za vituo hivyo....wenye akili timamu na wachambuzi wa mambo hawawezi kuamini habari hizi zinazofadhiliwa na nchi za magharibi ili kuzifarakanisha nchi za mashariki ili kuficha madhambi yao kuiba mafuta na kuwadhulumu wananchi kwa kuto kuyalipia kodi stahiki....
Ni mpuuzi pekee asiyejua kuwa Marekani anavyoyazoa mafuta huko libya maeneo yanayotawaliwa na wanamgambo......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom