Recent content by sad_eyes

  1. sad_eyes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu gani nzuri kwa milioni moja

    chukua A8 ni zaidi ya simu
  2. sad_eyes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Flat screen zenye internal receiver

    vp mkuu, izo tv naweza kuweka flash yenye videos za HD kuanzia 720p ama 1080p zikaplay?? ama full HD?
  3. sad_eyes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Flat screen zenye internal receiver

    izo channel 200 ni za wapi na wapi, nchi gani yani, na antena ya kawaida ni kama hizi za startimes ama.
  4. sad_eyes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Printer Ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ya stationery?

    pia iwe ma uwezo wa kuprint copies nyingi nyingi
  5. sad_eyes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Printer Ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ya stationery?

    mdau mimi naulizia printer ambayo nitaweza kuprint na pia kuscan... kwa matumizi binafsi. sana sana nataka niwe naprint vitabu na docs mbali mbali. ipi itanifaa?
  6. sad_eyes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Halotel ni kiboko kwa internet speed

    ni kweli hata maeneo ya chanika na pugu tigo ni majanga iyo 2G tu ni matatizo
  7. sad_eyes

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    mmoja wapo wewe nini..ama bado u mgumba??
  8. sad_eyes

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    nape ata deal nao hao we tulia tu
  9. sad_eyes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Halotel ni kiboko kwa internet speed

    10, 000 ya nini...ukishakua 4G umemaliza kila kitu....mm line ya 4g nilichange bure na bundle ni za kawaida. ila.sijui kama now wanacharge ama vp ila all in all 4G ya tigo iko vizuri
  10. sad_eyes

    JamiiForums Tanzania Mwanansheria Mkuu Jiuzulu, Umeshindwa Kumshauri Rais

    so rais kawaapisha WABUNGE WATEULE kua mawaziri .maana hawajaapishwa bado
  11. sad_eyes

    JamiiForums Tanzania Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    vp mkuu mbona unamchukia sana ama ULITAGA form 4 nini
  12. sad_eyes

    JamiiForums Tanzania Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

    awapi hamna kitu sasa iyo nyimbo yupo na hadija kopa si taarabu sasa mwanaume utaimbaje taarabu kama sio msengee baridi
  13. sad_eyes

    JamiiForums Tanzania Diamond alamba milioni 50 kutoka kwa Dr. Mwaka

    tapeli huyo
  14. sad_eyes

    JamiiForums Tanzania Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

    kweli yani....diamond wa kamwambie, mbagala...mawazo..lala salama...tamani....nitarejea....binadamu...ile rmx ya davido...alikua noma sana...a asaivi hamna kitu
  15. sad_eyes

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Chagonja, amehamishwa kwenda Jeshi la Zimamoto

    atakua kafojisha umri ama anafanya kw contract...ina mana hana 60 yule??
Back
Top Bottom