Mwanansheria Mkuu Jiuzulu, Umeshindwa Kumshauri Rais

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,031
Reaction score
268
Kwa masikitiko makubwa nimejitokeza kulaani kitendo cha A.G Masaju kutotimiza majukumu yake hasa katika kumshauri RAIS masuala ya KISHERIA.

TUMESHUHUDIA maajabu hapa Tanzania ya mawaziri ambao hawajaapa bungeni kuapishwa kuwa mawaziri

Hii nini tafsiri yake ni kwamba A.G hamshauri RAIS kama katiba inavyomtaka.
 
nikajua labda ni mimi tu mbumbumbu wa sheria ndio sikuelewa , kumbe na wengine mmeona !
 
Anaendesha nchi kama anavyoendesha Nyumba yake.
Mimi ni baba wa Nyumba hii leo mtakunywa maji na maharage tu
 
Lete kifungu cha sheria kinachozuia.

katiba inasema waziri ni lazima awe mbunge, na mbunge awe wa kuchaguliwa ama kuteuliwa hawezi kufanya kazi za mbunge mpaka aapishwe.
jambo ambalo halikufanyika kwa wateule wa magufuli.
 
Huwa sipendi kubishia vitu nisivyovijua
 
Karibuni wanasheria inafanana na ukomo wa raisi wa zanziba
Wengine miaka 5
Wengine akiapishwa mmoja ndo ukomo wa mwingine
Mbuge kuwa waziri kabala ya kuapishwa
Tupeni mwanga wanasheria
 
mcubic umeandika kuonesha ukomavu wa uelewa. kama hujui ni bora kuuliza. alichokifanya Magufuli sio kipya. Kikwete aliwateua akina Prof. Muhongo na kuwaapisha uwaziri kabla ya kuapishwa bungeni na ufafanuzi ulitolewa vizuri tu kisheria.
tunaona mnaleta zile zile sarakasi za rais kutokuvunja baraza la mawaziri wakati alichofanya kipo kisheria. hamjifunzi tu?

Kwa masikitiko makubwa nimejitokeza kulaani kitendo cha A.G Masaju kutotimiza majukumu yake hasa katika kumshauri RAIS masuala ya KISHERIA
TUMESHUHUDIA maajabu hapa Tanzania ya mawaziri ambao hawajaapa bungeni kuapishwa kuwa mawaziri

Hii nini tafsiri yake ni kwamba A.G hamshauri RAIS kama katiba inavyomtaka

nikajua labda ni mimi tu mbumbumbu wa sheria ndio sikuelewa , kumbe na wengine mmeona !

Anaendesha nchi kama anavyoendesha Nyumba yake.
Mimi ni baba wa Nyumba hii leo mtakunywa maji na maharage tu

Kwani hujui kuwa kikatiba waziri ni lazima uwe mbunge?unafahamu maana ya dhana ya kuapa?

katiba inasema waziri ni lazima awe mbunge, na mbunge awe wa kuchaguliwa ama kuteuliwa hawezi kufanya kazi za mbunge mpaka aapishwe.
jambo ambalo halikufanyika kwa wateule wa magufuli.

Hata mshahuri vipi wakati yeye mwenyewe anamuogopa

Huwa sipendi kubishia vitu nisivyovijua
 
so rais kawaapisha WABUNGE WATEULE kua mawaziri .maana hawajaapishwa bado
 
mcubic umeandika kuonesha ukomavu wa uelewa. kama hujui ni bora kuuliza. alichokifanya Magufuli sio kipya. Kikwete aliwateua akina Prof. Muhongo na kuwaapisha uwaziri kabla ya kuapishwa bungeni na ufafanuzi ulitolewa vizuri tu kisheria.
tunaona mnaleta zile zile sarakasi za rais kutokuvunja baraza la mawaziri kipindi cha uchaguzi wakati alichofanya kipo kisheria. hamjifunzi tu?

Kwa masikitiko makubwa nimejitokeza kulaani kitendo cha A.G Masaju kutotimiza majukumu yake hasa katika kumshauri RAIS masuala ya KISHERIA
TUMESHUHUDIA maajabu hapa Tanzania ya mawaziri ambao hawajaapa bungeni kuapishwa kuwa mawaziri

Hii nini tafsiri yake ni kwamba A.G hamshauri RAIS kama katiba inavyomtaka

nikajua labda ni mimi tu mbumbumbu wa sheria ndio sikuelewa , kumbe na wengine mmeona !

Anaendesha nchi kama anavyoendesha Nyumba yake.
Mimi ni baba wa Nyumba hii leo mtakunywa maji na maharage tu

Kwani hujui kuwa kikatiba waziri ni lazima uwe mbunge?unafahamu maana ya dhana ya kuapa?

katiba inasema waziri ni lazima awe mbunge, na mbunge awe wa kuchaguliwa ama kuteuliwa hawezi kufanya kazi za mbunge mpaka aapishwe.
jambo ambalo halikufanyika kwa wateule wa magufuli.

Hata mshahuri vipi wakati yeye mwenyewe anamuogopa

Huwa sipendi kubishia vitu nisivyovijua
 
Kwani hujui kuwa kikatiba waziri ni lazima uwe mbunge?unafahamu maana ya dhana ya kuapa?

katiba inasema waziri ni lazima awe mbunge, na mbunge awe wa kuchaguliwa ama kuteuliwa hawezi kufanya kazi za mbunge mpaka aapishwe.
jambo ambalo halikufanyika kwa wateule wa magufuli.

Kwani imeathiri utendaji?
Msikariri sheria wakuu, sheria zipo kurahisisha maisha yetu na wala siyo kucomplicate
So mlitaka aitishe bunge kwa ajili ya kuapisha hao watu 3, you are not serious!! watu tunabana matumizi, nyie mnawaza kutumia tu
 
Rules and procedure are there to be followed mwanasheria jiuzuru
Kama unaipinga hii hoja njoo na hoja ya kisheria na ya kimantiki
 
MAGUFULI HUYU AKIACHWA KWA HII KATIBA YA 1977 ATAKUA DIKTETA

HAO MAWAZIRI SI WABUNGE MPAKA HAPA SASA TUNAVYOONGEA huwez tanguliza suruali halaf chupi uivae juu
 
Tanzania tuna utawala wa kifalme unaoiga utawala wa sheria!
 
Rules and procedure are there to be followed mwanasheria jiuzuru
Kama unaipinga hii hoja njoo na hoja ya kisheria na ya kimantiki

Kwani hiyo niliyotoa haina mantiki? au mantiki ipi unamaanisha mkuu
We need to be flexible ili kubana matumizi yasiyo ya lazima, hayo mambo ya rule and procedure ndo yanasababisha kuwa na bei za serikali na bei za mtaani kwa lile lisheria la manunuzi, tutalibomoa soon. Hatuwezi kupoteza pesa za umma kwa kisingizio cha sheria na procedure
 
Kumbuka kikwete wakati anamuteau Sospter Muhongo kuwa wazir ilikuw akipindi bunge liko likizo lakini aliapishwa.Na kile kipingi mwanasheria alikuwa yule aliyeondoka
 
Back
Top Bottom