Halotel ni kiboko kwa internet speed

Halotel ni kiboko kwa internet speed

Hapana Mkuu, ni 3G tu.

Hata mie nakubaliana nawe...hivi majuzi niliamua kununua line ya halotel kweli nilifaidi speed then nikaja gundua kuwa gharama zao zipo juu sana kwa mfano kwa sh. 9900 unapata GB 3 kwa wiki na kwa speed yao zinawahi kukuta nikaona ni kama hawanisaidii zaidi ya kutaka kunitia umasikini zaidi.

Nikaamua kuchukua Line ya 4g tigo na kuwajaribu....kusema kweli nipo Arusha Speed yao ni nzuri kabisa na inalingana na halotel tena ipo stable na bei yao ni bora ukilinganisha na Halotel. mfano, ukiwa na 10000 unapata 4gb na ukilipia 35000 unapata 15gb za mwezi....wakati halotel wao kwa mwezi kifurushi kikubwa ni 5gb na gharama ni sh. 25000 huu ni wizi mkubwa....

Kwa kutumia tigo hapa nilipo naweza kuangalia Online movies kupitia app ya samsung inaitwa Bollywood na inastream full 1080p HD.....

Vodacom hawa nina nimetumia huduma zao vifurushi vikuuubwaaa lakini spidi ni kimeo...kubabake wakifuatiwa na halotel.

Ushauri wangu kwa tigo kwa kuwa huduma za kupiga na kupokea simu kwenu bado ni kimeo, nawashauri wekezeni zaidi kwenye internet kwani mpo vizuri sana.....

I hope wale mafisadi wa Smile na 4g yao muda si mrefu watafunga ofisi zao maana bei zao ni kimeo sana...
 
Tigo mtandao wa ajabu sana, huku kwetu Tanga ukijiunga stand unapata sekunde 600,000 kwa wiki kwa bei chee lakini hadi uende stand,

Ulizia na huko Arusha unaweza kuta wana kifurushi cha ajabu ajabu kinakaa hadi mwaka.
 
kama unataka kuchefuka, tumia net ya Zantel, ni majanga hata kobe ana mbio. Alafu wanakwambia ni 4G wizi mtupu.
 
Ukitaka kuwafaidi jiunge Na kazi furushi cha Tsh.1,500/= cha kuanzia SAA 5 usiku mpaka 12asubuhi unapewa 15GB, hapo uwe Na Na muvi zako 10 umeshaziandaa za Ku_download, unaacha kwenye laptop then unazikuta asubuhi zote zinakusubiria kuangalia
 
wewe unazungumzia mtandao gani huo?
Kama tigo maeneo mengi hamna kitu!!
Halotel nao ni wazuri mchana tu, giza likiingia kitu kobe afu kuna disconnect kama CDMA za zantel.
 
nahisi itakua mji mzima maana...maeneo ya kinondoni posta..kko...mabibo ..kigogo...ubungo..mcty...manzese...tandale....mkwajuni..studio...kivukoni....stesheni...mnazi.mmoja.... inakamata vizuri tu..sijajua maeneo mengine ila wako vizuri sana.

Kuna maeneo Daresalaam Tigo hata 3G ni majanga Mfano Ukonga kitunda, Kibeberu na Airtel maeneo mengine Dar ndo hata uwezo wa kupiga hakuna na sio nje ya jiji ni hapa hapa Dar, Halotel wamekuwepo maeneo mengi sana
 
ni kweli hata maeneo ya chanika na pugu tigo ni majanga iyo 2G tu ni matatizo
 
Naongelea Halotel Makuu

Mna bahati huko kwenu maana huku kwetu ikifika usiku speed inashuka mno alafu net inakata baada ya mda fulani so inabidi uconnect tena.
kama unatabia ya kutandika nyavu usiku asubuhi ikifika hupati hata dagaa labda ulale Kisungura kila ikikata unaunga
 
Kuna maeneo Daresalaam Tigo hata 3G ni majanga Mfano Ukonga kitunda, Kibeberu na Airtel maeneo mengine Dar ndo hata uwezo wa kupiga hakuna na sio nje ya jiji ni hapa hapa Dar, Halotel wamekuwepo maeneo mengi sana

Kitunda na napata 8-12mbps kwa tigo.

Mara nyingi nakimaliza kifurushi chao cha usiku, even wakati ule wanatoa gb 30 kilikuwa kinaisha.

1*6*60*60

Hivyo average unaweza kushusha gb 20 kwa net ya tigo ndani ya masaa 6 tu.

Sometime kifaa chako au setting zako zinaweza fanya mtandao uwe slow.
 
mkuu hiyo 8-12 mb ni download speed? na pia ni kwa 3g au lte?
 
Tatizo la halotel ni kuuza special namba bei ghali hata kwa namba ambazo kiasi fulani za kawaida. Wabadilike kwa hilo
 
Back
Top Bottom