Habai zenu wakuu..
naombeni ushauri napata simu gani nzuri nikiwa na Milioni moja.
sifa:
UTUNZAJI WA CHAJI
CAMERA NZUUUUUUURI SANA
BRAND NEW(SIO USED)
Kama nilivyosema upatikanaji wake ni mgumu, si rahisi kuipata dar. Hadi umuagizie mtu china au ununue online
Mkuu kati galaxy note 3 na galaxy j7 ipi unaona iko vizuri zaidi ?
note 3 ni nzuri zaidi specs wise,
j7 inakaa zaidi na chaji na ni mpya.
ila mi ningechungukua note 3.
Mkuu kati galaxy note 3 na galaxy j7 ipi unaona iko vizuri zaidi ?
chukua A8 ni zaidi ya simu
Nokia Obama 1280
chief habari embu nambie samsung s 5 dous made in china by samsung lte product ya uk na samsung s5 ya lte ya uk made in vetinam hipi nzuri kwa matumizi na uimaranote 3 ni nzuri zaidi specs wise,
j7 inakaa zaidi na chaji na ni mpya.
ila mi ningechungukua note 3.
usiangalie imetengenezwa wapi angalia ndani ina nini, kama unaweza kuzipata mkononi eka cpu z simu zote mbili halafu angalia internal zake hasa soc.chief habari embu nambie samsung s 5 dous made in china by samsung lte product ya uk na samsung s5 ya lte ya uk made in vetinam hipi nzuri kwa matumizi na uimara