Printer Ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ya stationery?

Printer Ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ya stationery?

bado nipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
303
Reaction score
43
Naomba msaada ni printer gani ni nzuri ambayo nitaitumia kwa ku

1😛rinting

2: Kusafishia passport size

3: Kutoa copy zaidi ya 100 per day
 
naomba msaada ni printer gani ni nzuri ambayo nitaitumia kwa ku
1😛rinting
2:kusafishia passport size
3:kutoa copy zaidi ya 100 per day
Kwa uzoefu ili ufanisi uwe mkubwa katika kazi zako
  • Inatakiwa uwe na printer mbili
  • Pinter Ya kwanza - Hii itakuwa ni LASER JET - Utaitumia kufanya printing na photocopy
  • Printer Ya Pili - Hii itakuwa ya INK JET - Maalum kwa aina zote za picha
Ili kupata mapendekezo ya printer zipi za kununua ni vyema kwanza ungesema bajeti yako ni tsh ngapi kwa hayo mapendekezo niliyotoa ya kuwa na printer mbili
 
Mwl.RCT

Akhsante mm budget yangu ni laki nane sasa bado najishauri niwe na photocopy machine inayo print au niwe na printer inayotoa copy zote ni kwa matumizi ya stationery tu.
 
Last edited by a moderator:
aksante mm budget yangu ni laki nane sasa bado najishauri niwe na photocopy machine inayo print au niwe na printer inayotoa copy zote ni kwa matumizi ya statipnary tu
  • Chukua Photocopy machine unayoweza pia katika printing
  • Running cost yake ni ndogo
 
  • chukua photocopy machine unayoweza pia katika printing
  • running cost yake ni ndogo
nakushukuru sana kwa ushauri wako mungu akubariki maana unaonekana siyo mchoyo wa maarifa
 
Chukua HP 1132/36/ zinazopatikana. Kwa Passport chukua Hiti S420. Kwa bajeti yako hiyo utaweza kununua vifaa vya kuanzia kazi ofisini kwako.
Hizo HP zina print+copy+scan.Bei yake sidhani kama inazidi 300,000/= ila andaa elfu ishilini ya balance.

Hiti S420 bei ni 350,000/= Japo unaweza kupata chini ya hapo. Kama eneo lako mahitaji ya passport ni makubwa basi nani ya mwezi mmoja ofisi yote itakuwa imejilipa.

Tupeane feedback kama utaamua kuchukua hivyo vifaa. Inaonesha tayari unavitu vitatu. 1. Computer unayo 2.Camera unayo 3.Sehemu ya ofisi ipo.
 
aksante mm budget yangu ni laki nane sasa bado najishauri niwe na photocopy machine inayo print au niwe na printer inayotoa copy zote ni kwa matumizi ya statipnary tu

tafuta epson printers ni nzuri zipo versiin tofaut tofaut unaweza tumia kwa matumiz yako yote
 
ila kwa kuongezea printer hakikisha unanunua laserjet tu na si vinginevyo!
 
Budget yako ni ndogo sana.
1. Upande wa printer nakushauri nunua HP MF 1132 laserjet kwa kazi ya inaprint, Inatoa copy na inascan bei yake ni 250,000 hapa dar.(Hasara yake ni bei ya catradge inatumia 85A bei yake ni 140,000 inauwezo wa kuprint au kufqnya copies 1000 tu ingawa si guarantee wakati mwingine huoungua hivyo ni hasara kwa biashara ya kupiga copy kwa sh 100 labda kwa kuprint kwa 500 per page utapata faida).

Nakushauri nunua mashine ya Canon NP 1215 Bei yake ni 600,000 ingawa ni ya kizamani lakini spear zake ni cheap na zi napatikana wino wake ni tsh 7000 na unapiga copy 100,000.

Mashine ya passport nakushauri nunua canon siphly CP 900 bei ni 250000-280,000 wino wake ni tsh 25000 unatoa passport 33 zinapatikana hapa dar. faida ya hii mashine ni portable sana unaweza kwenda nayo popote kufanyakazi hapo hapo kuna ambazo zinatumia chager (huitaji umeme sijajua kama hapa bongo kama zimefika).
Utahitaji kuwa na Camera ya kupiga picha nunua canon GT 75 bei yake ni 200,000 hivi. Ushauri wangu mwingine wasiliana na jamaa mmoja hapa JF anaitwa macamaca anaweza kukuagizia toka Finland unaweza kusave kwa asilimia 40.

Pia nunua peinter ya rangi ambayo nzuri ni HP 2050 bei ni 1,000,000. kwa kazi ya kupeint copor na catradge zake ni cheap 50,000 kwa wino zote mbili. shikushauri sana kununua printer zinazoprint na photo au passport size kwani bei za wino ni ghali sana ai chini ya 400,000 na zinatumia rangi 4 ikiisha moja haifanyi kazi.

Ushauri zaidi njoo pm
 
Ukianza hapo utaanza vizuri kwa uahauri na mahali pa kupata hizi equipment tuwasiliane 0754827198.

mdau mimi naulizia printer ambayo nitaweza kuprint na pia kuscan...
kwa matumizi binafsi.
sana sana nataka niwe naprint vitabu na docs mbali mbali.
ipi itanifaa?
 
hizo mashine za picha canon seply nnayo nauza laki tatu punguzoipo
 
Back
Top Bottom