Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu Posts na Comments ninazokutana nazo kwenye mitandao ya jamii, zinahusiana na siasa za Tanzania. Mitandao hiyo ni kama hii Jf, twitter, facebook, blogs nk; wengi wanaotoa comments inaonekana kuwa kama si washabiki basi ni wanachama wa CHADEMA. Hii...