Mbona CHADEMA hawana wabunge wahindi au wasomali?

Inashangaza hawa Wasomali, wahindi na warabu wanaonekana kwenye ubunge tu na siyo kwenye upolisi, uanajeshi, ualimu, ubwana shamba, misitu na fani kama hizo! Ni mashaka makubwa!
 
mi naona wizi wakubwa ni wazawa wenyewe, huyo mhindi aliingia akavunja benki kuu akaiba? Au alienda wizara akaiba? Wizi ni sisi wenyewe bana. Wahindi hawaendi CDM kwasababu wanajua ni chama cha kibaguzi na pia wameona CDM haina maendeleo.

i will neveer commment on your comments from today. Im certainly sure now you are are a ,messenarie of of them! all!!! I have observeded u for more than than a 3 monhths peridod. you suerly are missing the point all the time. myabe intenisionally or maybe by acccident. Any hows!!!! Its pathetic thinkining*******************
 
wasomali na wahindi ni wezi sana haoa hawawezi kukihama chama tawala .. Wakiondoka tu huko watafungwa fungwa wote hao

Kama wahindi wezi mbona mnakuwa watumwa kwa Sabodo, anawapa viongozi wenu hundi kwa mkono wa kushoto huku kalala kwenye kochi, viongozi wenu wanacheka cheka tu.
 
Inashangaza hawa Wasomali, wahindi na warabu wanaonekana kwenye ubunge tu na siyo kwenye upolisi, uanajeshi, ualimu, ubwana shamba, misitu na fani kama hizo! Ni mashaka makubwa!
RPC arusha miaka ya 90 , rashidi hemedi.
 
Kama wahindi wezi mbona mnakuwa watumwa kwa Sabodo, anawapa viongozi wenu hundi kwa mkono wa kushoto huku kalala kwenye kochi, viongozi wenu wanacheka cheka tu.
Baniani mbaya lakini kiatu chake dawa.
 
i will neveer commment on your comments from today. Im certainly sure now you are are a ,messenarie of of them! all!!! I have observeded u for more than than a 3 monhths peridod. you suerly are missing the point all the time. myabe intenisionally or maybe by acccident. Any hows!!!! Its pathetic thinkining*******************
Aise jibaba, bora hata ungeandika kiswahili tu. Yani wazungu wakiona hii wanaweza kufungua kesi ya kuwaharibia lugha yao.
 
Ni kwa sababu CDM ni wazalendo. Si kichaka cha wezi wala hawamchagui mtu kwa pesa zake ila uzalendo kwanza. Wahindi na Wasomali wengi wao hawana huo uzalendo.
 
Chadema hakina ubaguzi wa rangi wala ukabila kama magamba wanavyotaka kuwaaminisha baadhi ya watanganyika. So kama kuna colors wowote welcome to any post. Mjiamini tu enyi wadanganyika wa rangi zote, bora muwe na utendaji mzuri na nia njema na wote.
 
siasa za kibaguzi zinatawala chadema... kama wanabaguana kikabila .. hilo sio la kushangaa kabisa
 
Hao wahindi na wasomali wataanzia wapi kuingia cdm? Unadhani wanaweza kuvumiliwa mediocrity yao? Thubutu!!!!
 
Dah, Wasomali siyoo....

3.jpg
rage270308.JPG
5.jpg
 
Kusoma historia kuna faida yake! We hujui kilichofanya waarabu na hata wahindi waje Tanzania?!! Biashara, tena ya (hasa) ya Utumwa! Kwa hiyo waliopo hadi leo bado wako na element hizo na ndo maana wanajificha ccm ili wafanye biashara zao chafu "(utumwa)" smoothly. Chadema hakuna hizo!
 
Simple,kwasbabu haijaingia madarakani.Wakati wa uchaguzi wahindi huwa wanaenda hapo Kenya kupumzika.Tena especially miaka ile Mrema alipotingisha,sasa sijui sijui kwanini wasiwasi mwingi.Nadhani ungewauliza ni kwanini hawajiungi na chama kuliko kusema kwanini chama hakina hao watu.
 
Nchi yetu tukufu ya Tanzania ina raia wanye asili ya kihindi na wasomali, lakini jambo la kishangaza ni kuwa sijawahi kuona mwanachama wa CDM mwenye asili ya kihindi au msomali. Je ni makusudi ya CDM au imetokea kwa bahati mbaya.?

hao wanasubir mpk cdm isafshe njia 2015 ndo watajiunga na cdm
 
Back
Top Bottom