Hahahaaaa!!!! JF raha kweli kweli.bora watuletee na ukimwi feki, labda tutapumua.!
Katika taarifa ya habari ya Channel ten ya saa moja usiku leo, tarehe 21 Dec, kuna taarifa kuwa Condoms aina ya MELT ME toka INDIA ni feki na hazifai kutumiwa. Sote tunajua kuwa condom ndiyo kinga pekee iliyobaki baada ya A (kuacha ngono) na B (kuwa muaminifu) kukosa nguvu. Sasa kama condom zenyewe zinaingia feki, ni sawa na kufanya ngono zembe. Kupata HIV na magonjwa mengine na ngono ni nje nje. Ninachojiuliza hapa ni kuwa Tanzania tuna mkosi gani, hivi mjuzi zimeripotiwa ARV feki, leo Condo feki; Tutafika pale alipopasema JK - Tanzania bila Ukimwi inawezekana?
kuna kit hakijakaa sawa na hi taarifa
a)zimekamatwa sokon?
b)zimefail qc tests?
c)zimelalamikiwa tu
d)zimekuwa recalled
wapi madabida
haya ndio madhara ya kuua viwanda vyetu vya ndani iliwa tutegemee kuletewa kutoka nje na bado tutaletewa fake kila kitu hadi tutakapo tia akili nyambaf nawapa pole wanajieka rehani maisha yao kwenye hiyo minati(condom) mie sina habari nayo na sijawahi kuiamini hata mara moja na wala sitakuja amin hayo madude coz hata hizo ambazo mnaaminishwa zina ubora nazo zina vitundu vilevile hakuna jipya hapo ni yaleyale tu.
Mkuu kwa hiyo wewe unapiga chukuchuku..? Mie natumia sana na ninaamini uhai wangu leo umechangiwa na condoms..
kuna kit hakijakaa sawa na hi taarifa
a)zimekamatwa sokon?
b)zimefail qc tests?
c)zimelalamikiwa tu
d)zimekuwa recalled