Recent content by Saami

  1. Saami

    Audio | Book Summary: The Way of Walking Alone: 21 Principles For Life by Miyamoto Musashi (Dokkodo)

    Mimi natumia Headway yenyewe inatoka summary unaweza sikiliza na kusoma pia
  2. Saami

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu natumia Galaxy note 8 exynos, nimedownload gcam lakini haifanyi kazi kwangu Naomba msaada wako Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
  3. Saami

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Mkuu tambua kwanza kila mtu anapoamua kufanya jambo Fulani, intention yake huwa ni nzuri Lakini matokeo yake huja sawa na kusudio lake au tofauti na hapo Endapo yakiwa tofauti ndio tunatafsiri kwamba alikosea kufanya maamuzi Hili jambo Kila mtu hufanya na kumtokea Kwa upande wangu naona...
  4. Saami

    Inteligensia chanzo cha utajiri

    Usihangaike na vitabu mkuu Anzia na jukwaa hili hili la intelligence Kuna mada zimeshiba humu, unaanza kuzisoma kwa kuzidadisi, Nadhani utapata starting point nzuri Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
  5. Saami

    Inteligensia chanzo cha utajiri

    Mada nzuri mkuu Hongera sana Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
  6. Saami

    Naomba ufafanuzi wa alama hii ya barabarani

    Nadhani hapo kila mstari mmoja unawakilisha 100m Kwahiyo ukiona hivyo unajua kabisa bado mita kadhaa kufika kwenye zebra crossing au junction kulingana na rangi
  7. Saami

    Nataka nizalishe kuku wa kienyeji laki moja ndani ya miaka mitatu

    The failure is the success Lengo lake ni kufikisha kuku 100,000 Let say ndani miaka 3 amefikisha kuku 1,000 au 10,000 kwa kutumia hikohiko kidogo alichoanza nacho Sawa anaweza kuwa amefeli kufikia lengo lake lakini maisha yake hayatakuwa sawa na jinsi yalivyo Sasa Kila la kheri ndugu...
  8. Saami

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Jacklyn na Theodore walikuwa ni wapenzi wa muda mrefu, Baada ya kumaliza masomo Yao walifunga ndoa na kumzaa mtoto aitwaye Jeffrey Kutokana na ugumu wa maisha hasa baada ya Jeffren Kuzaliwa, miezi 18 baadaye Theodore alikimbia familia na kumuacha Jacklyn akiwa katika Hali ngumu kimaisha...
  9. Saami

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Namtafuta rafiki yangu anaitwa Daniel Vincent Olevel tulisoma wote kilosa agricultural secondary school Advance yeye alifaulu tabora boys Mimi nilienda dit sikwenda advance Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
  10. Saami

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Ahsante kwa sahihisho mkuu, Imebidi nisikilize tena Ni kweli dudu liumalo...
  11. Saami

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Tundu ulionalo usilipe kidole mjomba
  12. Saami

    What to say when you talk to yourself

    Every time you see me, I will be doing better than I was before, its me vs me
  13. Saami

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Maana halisi ya neno aijuaye msemaji
  14. Saami

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kudhuru binadamu wenzio sio kuzuri
Back
Top Bottom