Recent content by saa6

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wale tusiopenda matumizi ya condoms tupeane uzoefu, mimi sipendi kutumia condom

    Hapana dada,mm napenda kupima kwanza siwez fanya na mwanamke mpaka nipime hata kama natumia kodnom yaani nimejiwekea hivyo kama akikataa ebhana mm namruhusu aende zake,hatavkama nidemu wangu kupima ni muhumu labda nikishaoa ndio nitamuamini mke wangu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Starehe hasa katika nchi za kiarabu ni zipi kama hawana hivi?

    Tope?,ndio nn?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye upendo wa kweli awe mke

    Mi nikupe namba za mdada ambaye ni mstaarabu ila ana miaka 26 xx na amesomea nursing lakini bado hajaajirwa ni mweupeee
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wale tusiopenda matumizi ya condoms tupeane uzoefu, mimi sipendi kutumia condom

    Kama hupend kutumia Condom,basi nakushauri ukijua una mechi ununue HIV test mbili yaan ya kwako na huyo mlengwa,akifika tu mnaanza kupima HIV ili mkiwa wote mpo vizur unakula mzigo bila kuwa na hofu maana unaweza kula mzigo kavu kavu kumbe unajichimbia kaburi,hata mm situmui kondom huwa natumia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unazijua hasira zetu watumishi?

    Huyu kila siku anataka kupata pesa ila kutoa pesa hataki,halafu kuna makabila hata Nyerere alishasema tusiwape madaraka yy aliona mbali sana yule mzee,na kabila hili pia alilitaja na haya ndio matokeo yake,yaani wabahili sana sijui kama alishawahi kuhonga ujanani,anakzi ya kujenga Airpot pale...
  6. S

    JamiiForums Tanzania UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Hiv ndio hao wasomi ambao mtu hata ukimuuliza swali kulingana na taaluma yake anajizungusha? !!?,gedree za xx nyingi za kupeana ila si za uwezo wa mtu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kusaidiwa kutoa lock kwenye flash

    Nimepewa flash ila imewekwa lock, yaani siwezi kufuta chochote wala kupunguza, ila nawaza kuweka vitu tu na hata nikitaka kuiflash inakwambia ina lock hivyo mpaka nitoe lock ndio niweze. Sasa wana JF mwenye ujuzi wa kutoa lock kwenye Flash anisaidie plz.
  8. S

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    Mpaka sasa sijaona tofauti ya JK wakati akiwahamisha mawaziri wake sekta na huyu JPM anvyowatumbua kisha anawapangia kazi nyingine nn tafsiri yake hapa?.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kumpeleka mwanao shule za kata ni kwenda kumzika kielimu

    Kaka umemaliza.!!,
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

    Mmh jamani kumbe ndivyo mnavyotukamata hivyo.!!
Back
Top Bottom