Msaada: Naomba kusaidiwa kutoa lock kwenye flash

saa6

Member
Jan 17, 2017
10
5
Nimepewa flash ila imewekwa lock, yaani siwezi kufuta chochote wala kupunguza, ila nawaza kuweka vitu tu na hata nikitaka kuiflash inakwambia ina lock hivyo mpaka nitoe lock ndio niweze.

Sasa wana JF mwenye ujuzi wa kutoa lock kwenye Flash anisaidie plz.
 
Tumia partition master. Delete partition ya hiyo flash drive then create new partition na hapo utakuwa umeondoa hiyo lock. Warning all contents in that flash will be erased with no possibility to recover them.
 
Back
Top Bottom