Recent content by Rwiai

  1. R

    Ripoti Maalum:Wizi wa fedha katika ATM ulivyofanyika

    Asante sana kwa taarifa yenye ufafanuzi wa kina. suala la kujiuliza ni je wateja wa benki husika wachukuae tahadhari ipi ili kuepuka kadhia hiyo na usumbufu wanaokumbana nao?
  2. R

    Mbunge wa Ukerewe: Asikari wa Kenya na Uganda waingia Tanzania

    Nipo Ukerewe (Nansio) lakini sijasikia wala kuona jambo la namna hiyo. nitaendelea kuwajuza kwani wilaya hii ina visiwa vidogovidogo zaidi ya 23 ambavyo vinakaliwa na watu hivyo naendelea kufuatilia.
  3. R

    Mh. Eng Chiza amelitelekeza jimbo la Buyungu , wananchi hawataki tena

    Jimbo la Buyungu kwa sasa lipo wilaya ya Kakonko
  4. R

    Watuhumiwa wa mauaji ya RPC Barlow wafikishwa Mahakamani leo

    Tunataka kuona picha zao humu jamvini
  5. R

    NOKIA N8 Prices tafadhali!!!

    Tembelea Tanzania Online Shopping gateway utapata bei yake wanauza original
  6. R

    msaada wa DICTIONARY

    Nami nitumie ya TUKI kupitia p.rwiai@gmail.com
  7. R

    Tuyota starlet zinakulaje wese?

    jamaa yangu anayo yenye cc 1350, fuel consuption ni lita moja kwa km 13
  8. R

    Mwenyekiti wa H/W Kibondo ajiuzuru

    Nawewe ni walewale kwa sababu mtu anayeelewa hatafuti maana ya neno mojamoja bali sentence nzima inaeleza nini. Tafsiri yako ya H/W kuwa ni home work haileti maana kabisa kwa maana ya Mwenyekiti wa Home work Kibondo, ukisoma thread hadi mwisho utagundua inazungumzia Halmashauri ya Wilaya.
  9. R

    Mwenyekiti wa H/W Kibondo ajiuzuru

    Saimon Kanguye Kagori ambaye alikuwa M/Kiti wa H/W Kibondo mkoa wa Kigoma kupitia CCM amejiuzuru wadhifa huo tar. 21.6.2012 kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi. Taarifa ya kujiuzuru kwake ilitolewa ktk kikao cha dharura cha Baraza la madiwani tar. 22.6.2012 na Mkurugenzi...
  10. R

    Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

    Hapo ni kweli kwa sababu kulingana na sheria za Tanzania zipo Taasisi hususan polisi, Uhamiaji na Takukuru ambazo ndizo zenye mamlaka ya kufanya chunguzi za makosa ya kijinai na kuwafikisha mahakamani watuhumiwa baada ya kujiridhisha kuwa upo ushahidi usio na mashaka unaowahusisha watuhumiwa...
  11. R

    Msaada, nokia n8 imezima haitaki kuwaka.

    Kama uko serious na post yako nenda kwa mafundi wa simu wanazo special tool ya kufungua hizo screw4 ya nokia N8. pia unaweza kugoogle Nokia N8 disassembly kuna maelezo ya namna ya kutoa betri hiyo.
  12. R

    Gharama za airtel internet bundle zimepanda!

    Airtel imepandisha gharama za internet, 400mb kwa sasa sh. 5000. Piga *154*44#
  13. R

    Unique sisters wako wapi?

    hapo umenena, sura zao zilikuwa unique
  14. R

    Nahitaji Sheria ya Baraza la Usalama la Taifa

    Mbona hujanifowadia hiyo copy, please keep your promise
Back
Top Bottom