Hakuna ushahidi uliopatikana hakuna kesi wanasheria wanajua hili sasa nyie kama ni mafisi maji tafuteni jaji wenu mahakama yenu mupeleke ushahidi wenu na pia msisahau sheria yenu mtakayoitumia nYAaaaaaaaambaaaaaffFfffffff
Nashangazwa na takukuru kuwa hakuna mtanzania aliye husika na ufisadi ktk ishu ya rada.chanzo ITV.wadau nawasilisha
Lusinde: Ona sera za CCM! Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee?
Magamba: Pigaaaaaaaaaaaa
Lusinde: Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Magamba: Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Lusinde: Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Magamba: Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Lusinde: Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Magamba: Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Lusinde: Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Magamba: Kijaniiiiiiiii.
Lusinde: Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi. CCM Oyeeeeeeeee.
Magamba: Oyeeeeeeeeee.
Hii TAKUKURU ni usanii mkubwa, hakuna kifanyikacho!Nashangazwa na takukuru kuwa hakuna mtanzania aliye husika na ufisadi ktk ishu ya rada.chanzo ITV.wadau nawasilisha
kama hajawajua watz waliohusika mi nawajua, akitaka kuwajua awaite ma-"senior gambas" halafu wasimame mbele ya kioonashangazwa na takukuru kuwa hakuna mtanzania aliye husika na ufisadi ktk ishu ya rada.chanzo itv.wadau nawasilisha
Aliyenifurahisha zaidi ni Kikwete pale aliposema kuwa Tanzania inahitaji msaada wa vifaa/nyenzo na ujuzi ili waweze kupambana na rushwa! Nimebaki najiuliza, Kikwete na serikali yake wahitaji kifaa gani kuchunguza EPA? wanahitaji nyenzo gani kuchunguza Meremeta, Deep Green? Hapo Arumeru kwenyewe rushwa inatolewa nje nje, Kikwete anahitaji wafadhili toka Ulaya wamnunulie magunia ya kuwaweka wale wanaotoa rushwa?
Na kama kweli Tanzania inahitaji msaada, mbona Hosea ameweza kufanya uchunguzi wa kina na kugunduwa kuwa hakuna mtanzania(!!!) aliyehusika kwenye rushwa ya RADA! Alitumia kifaa/nyenzo gani huyu bwana Takukuru?
By the way, Hosea anakumbuka wikileaks yake kuhusu rushwa na armi za wakubwa?
Sio kauli ya kushangaza kwani hosea huyo huyo aliwahi kusemakuwa hata katika kutoa zabuni kwa kampuni tata ya richmond hakukuwa na dalili ya rushwa (achilia mbali rushwa yenyewe)