Gharama za airtel internet bundle zimepanda!

mkuu hawa jamaa wameamua kutunyanyasa sasa! hivi kwani gharama za internet zinakuwa juu hivi?
airtel wenyewe hawamo hata kwenye makampuni matano bora yanayo lipa kodi vizuri tanzania! selikari inampango gani na mkongo wa taifa?
 
bei mbaya airtel toka jana 25mb ~ 1500/= . watafakari tena bei zao la sivyo namaliza kifurushi na kutoa line yangu.
 
ni kweli wamepandisha bei,kwani sasa unaweza kununua bundle za time based,yaani Tsh 200/hr,500/day nk,ambapo kama ni tsH 500 unapata MB 50,kweli wamenistaajabisha sana hawa jamaa,hebu mwenye taarifa za ISP wengine wanipe gharama za huko!!
 
Nadhani makampuni ya simu ya Tanzania ni ya wakubw. Maana yanavyowaibia na kuwadhalilisha watanzania nashindwa hata kuelewa nini mantiki ya kuwa na serikali. Katika Afrika ni Tanzania pekee yenye huduma aghali na za hovyo za simu na umeme. Lini tutakuwa huru jamani. Tumeacha wezi wachache watuchuuze na kutula tujikiona siyo?
 
Usidanganyike kaka tz tuna bei rahisi sana ya internet kama huamini nakupa details na source tuanzie kenya

kenya
Safaricom 50 mb wanauza ksh 100 sawa na 2000 ya bongo
500mb ni ksh 499 sawa na elf 10 huku, wakati voda unapata 750 mb na ukimaliza bundle unapata net free sema speed ndogo
Angalia hapa kwa maelezo ya bundle za safaricom
Safaricom -PrePay Data Bundles

Ukija airtel ndo usiseme ghali sana kwa siku ksh 150 per day unlimited sawa na elf 3 kwa mwezi ksh 2999 karibia elf 60 wakati tigo standar elf 35 tu na speed nzuri

Jivunie kua mtanzania
 
yeah man! Umesema vema mkuu! But kwanini wanapandisha gharama bila taarifa? Wakati wangeweza kuchapisha tangazo lao hapo juu kwenye red &white? Huku ni kutokujali wateja wao!
 
yeah man! Umesema vema mkuu! But kwanini wanapandisha gharama bila taarifa? Wakati wangeweza kuchapisha tangazo lao hapo juu kwenye red &white? Huku ni kutokujali wateja wao!

Yah wanafanya makosa nakubali pia kutumia lugha za kuvutia watu wanunue kifurushi fulani lakini sio kusema vifurushi vyetu ni ghali kucompare na waafrika wenzetu
 
nashuka kwenye hili basi linalowapandishia nauli abiria ndani ya basi . kwanza basi lenyewe ni ovyo tu . tuamieni zantel
 
Sio kweli, mi juzi nimenunua mb 400 kwa sh 2500. Andika internet kwenda 15444.

Upo sahihi mwenyewe nimejiunga kwa njia hii sasa hivi imekubali 400 mb kwa sh 2500. Lakini ukienda kwa *154*44# garama zake ni kub
wa kama wengine walivyosema
 
Nyie mnaenda *154*44# kutafuta nini? Andika internet kwenda 15444 na utapata 400mb! Mi naitumia na leo ni siku ya pili tangu nijiunge. Acheni uzushi!
 
Hawa jamaa mbona hawaeleweki mara pandisha mara shusha.Ni muda sasa KUHAMA AIRTEL
 
sio kweli, andika internet kwenda 15444 utapata mb 400, huko mnakopita mnachemsha.
 
duuh! Vipi zile 200MB za usiku waliacha kuzitoa, coz najiunga nazo lkn kila nikifanya connectn inagoma? I wish nichakachue modem yangu ili nipate huduma kutoka mitandao mingine! AIRTEL wanatufanyia vibaya.
 
@Matola, tumia ile ile njia ya zamani yaani tuma neno INTERNET kwenda 15444, utapata 400MB kwa sh 2,500.

Mimi nimerecharge jana tu na hakuna matatizo yo yote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom