Recent content by rweyee

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kadi za Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) na ubora wa huduma ya Afya inayotolewa

    Unatakiwa ueleze ukilenga sehemu yalipo hayo matatizo ili wahusika waje watatue,vinginevyo usiichafue NHIF wengine ndo tunaponea na utaratibu kwetu ni mzuri.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lipi neno sahihi?

    Umoja _langu Wingi_ yangu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

    Mtu akikukosea akafungwa na Jamhuri, unaweza kwenda kuiomba Jamhuri kuwa jamaa nimemsamehe naomba afunguliwe?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Nilimsikia Mzee wa Je,huu ni uungwana akisema kuwa yeye ni mzee wa message send badala ya Mzee wa message sent
  5. R

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Wachezaji wa Yanga/Simba wanapenda kudefence kuliko kushambulia badala ya wanapenda kudefend
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kakataa kuja kukaa na mimi

    Sawa mke ni mpenzi wako, lakini hapa ulitakiwa useme kuwa "mke wangu" ili uelewe mapema. Naona huyu si mkeo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Ball pocession _ ball pozisheni
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo rais wa kwanza wa Zanzibar Mh. Abeid Karume alivyouawa

    Hivi ndivyo alijibu swali la darasa la saba lililouliza "Elezea unavyoyafahamu mapinduzi ya Zanzibar"
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mh!

    Wamekuwaje?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mh: Paul Makonda akiwa Gyme.. Hapa vijana kuna la kuiga.. Mazoezi ni muhimu kwa Afya

    Ndio maana ali.... mzee Waliomba
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi Lissu alivyowabadilisha waliomuona Nairobi

    Hizi sifa ungeziandika kwa kiswahili wakati huo pengine asingepigwa risasi
  12. R

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Nitahakikisha tamko la IGP Sirro linatenguliwa na mahakama

    Atapimwa mkojo hivi punde
  13. R

    JamiiForums Tanzania AIBU: Waalikwa Ikulu kuinuka na kutaka kuondoka kabla hata Rais hajainuka ni aibu

    Hawana makosa hawajafundishwa protokali. Kumbuka Rais mwenyewe alisema hakuna semina elekezi ,mtajua huko huko
Back
Top Bottom