Recent content by Rwaki

  1. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Branch international App

    Wakuu apps inaitwaje hiyo nidownload
  2. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

    Kweli mkuu, anatusi huyo
  3. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole mkuu
  4. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu mziko wa kesho
  5. Rwaki

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nielekeze mkuu
  6. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nipe maelekezo mkuu jinsi ya kuweka mkeka
  7. Rwaki

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mkuu unabeti na apps ipi plz, huwa natumia m bet app but not too good je unayo tumia ipi
  8. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Samahani mkuu naomba nielekeze iyo app ya kubet plz
  9. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Arusha wanakuja watu wakubwa wa dunia kimya kimya na wanaondoka kimya kimya

    Nipo karibu na ngurudoto ila mkuu nimesikia kwako. Lini wamekuja mkuu, duh! Kali mkuu angekua mbongo msanii kaenda huko kwao tungefahamu, wenzetu hawana ujinga kweli.
  10. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Harmorapa , Harmonize hajui kuimba anabebwa na media

    Uyo amo sijui nn, ana jipya watu wanafanya yao yeye kakalia majungu si upumbavu. Yeye aimbe anae jua wasiojua wanaheat kilakukicha kweli nyanii aoni kundule.
  11. Rwaki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

    Mkuu ipo poa sana.
  12. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

    Kweli wakuu kipenzi cha watu, anae jua anajua tu, waigaji wengi ila hapo wao huyo.
  13. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Wakuu naomba nielekezeni jinsi ya kudownload movies.
  14. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Nijuze movie kali.,nikazipakue nina bando za kutosha

    Hata season mkuu, secrete mission, ni mpya
  15. Rwaki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio ilà kuna mkuu mmoja kama kagusa vyema , msaada nabeti kupitia m-bets, but kama kuna njia rahisi nyingne mnisaidie ya kutupia mzigo
Back
Top Bottom