Kesho zamu yako .....tutakuwa tunakuorogea kwa PSGNapoli nao. bora ningejichekia Arsenal.
Napoli walikuwa na mpango wa kutupiga dk 15 za mwanzo, wakashindwa, hapo nikajua tu hawana tena uwezo wa kututoa, tulipoaawazisha tu hapo ndio kabisaa tukawapoteza mazima!!Kipindi cha pili kilikuwa kizuri kwetu Safi sana vijana
Karibu tena Mkuu, endelea kuonyesha jitihada hivyo hivyo.Napoli nao. bora ningejichekia Arsenal.
Hope this time tutatinga final, na kuondoka na Kombe letu, ninajua Guti atawaandaa vijana wake vizur kupigana na yeyote atakayejitokeza mbele yao. #HalaMadrid¡¡
[HASHTAG]#OnThisDay[/HASHTAG] in 2006, Milan defeated Bayern Munich 4-1 to advance to the quarter finals of the Champions league