Ni muda mrefu sasa umepita tangu mh. lema kuambiwa*
atoe taarifa ushaidi kwamba waziri mkuu wa tanzania
amesema uongo lakini *mpaka leo hatouni kinachoendelea./
leo tena mch.msigwa anaambiwa alete ushaidi *wa maandishi je huu sio mpango*
wa spika kutaka kuwanyamazisha wabunge wa cdm ili wananchi...
kwanza kabisa inabidi aachie ngazi kwa kutufanya wajinga
ana tudanganya danganya tu
hayuko makini kabisa alafu ndio ameaminiwa kupewa wizara nyeti hivyo
ina maana ccm hamna watu makini
hii bajeti niliisikiliza nikajua kuna changa la macho je wewe unasaidiwa na nchi zaidi ya ishirini
na wabunge kwa upungufu wao wanapiga makofi kusaidiwa.serikali imekosa ubunifu wa vyazo vipya vya mapato
utekelezaji zero.
wameshindwa kuondoa rushwa polisi
Ina wapa matraffic deal la kupandisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.