Mie nilifikiri mida ya kuhutubia mikutano ya kisiasa eneo la wazo ni saa 12.00, Mh. Zitto alizidisha dk 20 akatiwa rumande (huyo ni Mbunge na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni). Sasa huyo Mura yeye ni mjumbe tu NEC anaachiwa tu, sasa huoni hapo kuna Double Standard katika ku-enforce utawala wa sheria? Mwanakijiji alikuwa right alipozungumzia Double Standard kulinda sheria.