Mchungaji Msigwa atakiwa kutoa Uthibitisho wa Madai yake Bungeni leo

Huyo baba mchungaji lazima ale ban bungeni kama alivyowahi kula ban zito.mchungaji gani hana nidhamu?
we kilaza au ulizaliwa kwa bahati mbaya? uanataka nidhamu ya namna gani? au tuwalambe hao vilaza wenzio(magamba) miguu yao ndio uta jua tunanidhamu!!! na hilo ni trera bado picha yenyewe!!!!! aluta continua pastor msigwa!!!!!!!
 
mimi nakumbuka siku hiyo nilikuwa nasafiri na nilipofika maeneo ya ilula nilikuta bonge la foleni ya magari ..tulikaa pale kwa saa nne na dk 27.kuulizia nikaambiwatunasubiri msafara wa waziri mkuu upite.......na baadae akapita baada ya mda huo........... wengi tulichukia sana...
 
hapa mchungaji ana kazi kubwa,

ilibidi ajipange kama wenzake wa CHADEMA wanavyojipangaGA, otherwise watamsulubisha hawa jamaa, maana CCM inafanya juu chini kuhakikisha chadema haichanui.

Kuthibitisha ni rahisi sana, data zote atazipata serikalini kwa watendaji wazalendo. Ila baada ya hapo watauchuna kama walivyofanya kwa Lema.
 
ccm wamefulia, kazi yao ni kulilia huruma za mama yule asie hata na uwezo wa kongoza, na kazi yao kubwa ni kucheza Ngoma,
156515_170952516259503_100000342668655_449893_6289569_n.jpg
 
ni kweli alitumia ndege mbili moja ikiwa ya kukodi kutoka nchini Kenya yenye namba za usajili 540 FLY AVITION....ndege ya serikali ilimbeba pinda na hii nyingne iliibeba wataalam toka wizara ya miondo mbinu...omari chambo ni mmoja wa waliopanda ndege hiyo.....
 
Kwa ninavyofahamu hurka ya chadema kutoa uthibitisho sio inshu kwao. Shida ni kuwa kila wakiutoa unawekwa kapuni. Picha aliyoweka Safari-ni Safari inatoa uthibitisho
 
na picha zake msafara ule zipo so kama msigwa anaambiwa kuthibitisha hakuna shida......kunanzia video yake pale nduli hadi kule kilolo wakati anazindua bara bara......
 
News Alet bungeni sasa hivi mchungaji msigwa (Mbunge Chadema) anawachachafya wabunge wa ccm bungeni kuhusiana na waziri mkuu Mizengo Pinda kwenda Iringa na kutumia ndege mbili na magari 50 kwenye msafara wake! Anaambiwa athibitishe!
Naomba mchungaji msigwa atendewe haki ili aweze kutoa ushahidi wake,na uwasilishwe bungeni na tusifichwe kama ilivyotokea kwa mh lema-mbunge wa chadema arusha mjini
 
Amin,amin, nawaambia, saa inakuja,na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hai.Msi...staajabie mambo hayo; kwa maana saa inakuja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake. Nao watatoka; wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima,na wale waliotenda mabayakwa ufufuo wa hukumu. (somaYohana 5:25, 28-29).
 
hii ni style mpya inayotumiwa na spika kuwanyamazisha wabunge
hata kama akiandika itakuwaje?
mbona ya LEMA kuhusu WAZIRI MKUU HATUISIKII?
 
Mchungaji Msigwa ushahidi mwingine upo kijiji cha Kiru wilaya ya Babati, Polisi walimpiga mtuhumiwa mpaka amekufa na Bado yupo chumba cha kuhifadhia maiti baada ya mzozo wa uchunguzi. Huyu marehemu alikamatwa na polisi akiwa mahakamani, wakamchukua kwa mahojiano mahali pasipojulikana, kilichofuatia baada ya hapo ni kuonekana hospitalini akiwa mahututi na akafa baadaye kutokana na kupigwa na polisi.
inasemekana pia huko UDOM kuna mwanafunzi kauwawa mikononi mwa polisi.
 
Mimi nilihesabu nikachoka

msafara.JPG

Niwakumbushe kuwaaa Genista Mhagama yuko upande wa Mch.Msigwa ana uhakika msigwa anao ushahidi, kwa hiyo anataka ushahidi ili PINDA KAYANZA aumbuke.
Si mnakumbuka Mhagama ana bifu na kayanza pinda, wakati wa bunge la juni 2008 aliwahi kulalamika kuwa kuna waalimu kule peramiho walikuwa hawajaajiriwa wakati walikuwa na vyeti, lakini cha kushangaza Waziri wa utumishi hawa Ghasia almjibu kwa kejeri kuwa waalimu wale hawakuwa na vyeti hapo ulizuka mzozo kati ya mama wale wawili hadi kufikia waziri mkuu kuingilia kati na kumuomba Genista alete uthibitisho wa vyeti.Bila ajizi mama wa kingoni (mhagama) aliibuka na vyeti orijino vya waalimu na Hapo mtot wa mkuilima akaumbuka.Kwa hiyo ngoma inogile wait na see
 
Back
Top Bottom