Ya Ridhiwani na mahakamani yameishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Ridhiwani na mahakamani yameishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by justo james, Jun 17, 2011.

 1. j

  justo james Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ya leo wana JF wenzangu, najua kwa sasa macho yote ya watz yapo kwenye suala la posho na tumesahau kabisa kuhusu mkwara aliowachimba DK. Slaa na Mch. Mtikila, ninachojiuliza ni mbona alitoa siku saba na kwamba wasipomuomba msamaha atakwenda mahakamani, mpaka leo siku saba hazijafika au? Mpaka leo sijaona yeyote kati ya hao akiomba msamaha wala Ridhiwani akienda mahakamani kuwashitaki. Inaonyesha walichosema ni ukweli mtupu. Nakumbuka Dk. Slaa alimwambia utakuwa umevunja rekodi ya mafisadi waliosema watatupeleka mahakamani wakaishia kukaa kimya. So nazidi kuiamini CDM kwamba hawakurupuki katika habari wanazowapa watz, wanajipanga kwanza na wanahakikisha kuwa data ni za kweli kisha wanazirusha hewani.
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 6,968
  Likes Received: 4,101
  Trophy Points: 280
  maana yake ni kuzidi kuonyesha uzuzu wa Watz, pia inapoteza heshima ya "first family" maana huyu ni mwanafamilia wa hii nafasi ya juu kwa sasa. Nasi wananchi wa kawaida inabidi tuwaangalie/tutawaangalia kama watoto wengine waliotangulia.
  Mfano Rz1 vs Madaraka
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Aliona aache kulumbana na VICHAA
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Rev Mtikila naye vipi? Alinukuliwa akisema atampeleka yeye...ama kakatiwa kitu kidogo katulia?
   
 5. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rizi 1 ndio nani nchi hii?
   
 6. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  hamna shoga jasiri
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 8,486
  Likes Received: 2,115
  Trophy Points: 280
  Anaogopa kwenda kunyea debe.
   
 8. b

  betty marandu JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Silence means yes
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,456
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Naye basi ni kichaa kwa kutishia kuwapeleka vichaa mahakamani...
   
 10. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hilo nalo neno katavi
   
 11. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,321
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Mahakamani sio mahali pa kukimbilia kama vile mtu anavyoingia msalani, unahitajika umakini katika ukusanyaji wa vielelezo na ushahidi wa kuuweka mahakamani. Nadhani dogo bado anajipanga kama yule jamaa wa Tembo Card Master Card. Tusubiri tuone.
   
 12. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Katoto haka katakuwa ni "kajizi'' isipokuwa wanaokashutumu juu ya huo ukwasi nao inaonekana hawana uhakika na data zao kutokana na habari za kuambiwa.Angepatikana mtu mwenye data madhubuti ningeweza kumsupport ili tusonge nako.Narudia tena "kamekaa kiwiziwizi" kama sio "kimjini mjini" na dalili yake ni kuwa kameamua kujipotezesha ili tukasahau kama kapo.Sorry kwa lugha hii kwani ningemkubali iwapo angetimiza tamko lake la siku saba.Vinginevyo ni MNAFIKI kabisa kwa alama hizi tatu katika imani yake:-
  1.Kutoa ahadi na kutotimiza.
  2.Kusema uongo na
  3.Kutoaminika.
   
 13. N

  Ntandalilo Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Turehemu ee Mungu!............. ni harakati tu za kupigania taifa letu linaloongamia kwa ajili ya wachache.
   
 14. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 8,486
  Likes Received: 2,115
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo huyo dogo ndiyo kama vile eh?
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,014
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Kichaa ni yupi kati ya anayemkimbiza kichaa aliyemuibia nguo akioga bafuni au kichaa-mwizi anayekimbia?
   
 16. Ruwa tutarame

  Ruwa tutarame Member

  #16
  Jun 17, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu dog kiazi sana
   
 17. Rocket

  Rocket Senior Member

  #17
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kesha data huyu anajuwa mziki wa mahakamani utafumua mambo mengi sna!!!!
   
Loading...