BUNGENI: Muheshimiwa Tundu Lisu Live anachangia mjadala

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Anasema mchango wa sekta ya madini kwa pato la serikali ni asilimia Tatu!, na bado hatujifunzi. Tunaendelea kuwapa misamaha ya kodi
 
Mwaka 2009, bil 88 zilizotengwa kwa ajili ya kupelekwa vijijina hazikupelekwa
 
Tundu Lisu ni kichwa sana, lakini nchi yetu yenye viongozi wenye mawazo mgando wanakomaa kwamba ni mwanaharakati mchochezi
 
Anasema mchango wa sekta ya madini kwa pato la serikali ni asilimia Tatu!, na bado hatujifunzi. Tunaendelea kuwapa misamaha ya kodi
Sikio la kufa litajifunza nini; kama madini yenyewe yana upupu kwa nini tuendelee kuwashwa shuruti tuwamwagiye wengine wakawashwe huko.
 
Wazee mbona mko kimya tupeni vitu....au Tundu Lisu kamaliza? Vipi nae anatumia iPAD kama Zito? maana CDM imewashika pabaya jamaa wa magamba!
 
mhagama anamzidi makinda upeo nimependa alipoitosa taarifa
Mhagama ni kichwa tena ingekuwa bora kama ni uspika angekuwa yeye lakini kwakuwa magamba hawataki mjuzi na mzalendo nyota ikamwangukia bi kiroboto
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Inasikitisha, Ndani ya miaka miwili polisi imeua watu 77, hakuna mtu aliyeulizwa wala hakuna taarifa yayote
 
LISSU: Despite Technical Knockout you've smacked the Bull

Asubuhi nimetuma waraka wangu kwa wabunge wa CDM kuhusu mwenendo mzima wa uchangiaji Bungeni, kwa mshangao mkubwa nilihofia kwa namna ambayo ilionekana kama kukosa maarifa ya kuutanzua huu mtego wa offside trick wa CCM

Kwa mchango wa muda mfupi uliopita Mh. Mnadhimu Mkuu Tundu Lisuu umebreak deadlock, despite kuzongwa na Muda lakini ujumbe uleule wa mauaji na udhalilishaji wa Jeshi la Polisi uliogonga mwamba jana wakati wa maswali ya papo kwa papo ya Waziri Mkuu, umefika kwa more organized na systematic way.


Sina Shaka hii application itatumiwa na wapiganaji wengine kuendelea kutetea kilio cha Watanzania walio wengi.

Aluta Continua
 
Yaani magamba yameshika pumzi kwa hasira wakati Tundu anaongea!
 
...mie sijabahatika kutazama wala kusikia huo uchangiaji wa mkubwa lisu but asanteni kwa kutujuza...viva jf
 
Wakati anaongea magamba walikuwa wamekunja uso kweli kweli!! Kabla hata hajawachana, walijua tu kuwa Bomu linakuja!!
 
yule mama kiroboto hajui lolote........heri ya huyu mhagama jenista
 
Back
Top Bottom