Utetezi wa Lema kuhusu uongo wa waziri mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utetezi wa Lema kuhusu uongo wa waziri mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ruwa tutarame, Jun 17, 2011.

 1. Ruwa tutarame

  Ruwa tutarame Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muda mrefu sasa umepita tangu mh. lema kuambiwa*
  atoe taarifa ushaidi kwamba waziri mkuu wa tanzania
  amesema uongo lakini *mpaka leo hatouni kinachoendelea./
  leo tena mch.msigwa anaambiwa alete ushaidi *wa maandishi je huu sio mpango*
  wa spika kutaka kuwanyamazisha wabunge wa cdm ili wananchi tusiupate ukweli?
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Spika huyu , ukimfikiria unaweza ukatenda jambo baya !
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu wengine hatujasikiliza bunge. Mchungaji kasema nini hadi aambiwe alete ushahidi wa maandshi?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  au kupata stroke
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nchi hii nzuri sana unaweza ukafanya baya lolote bila hatua yoyote kuchukuliwa,mfano mapacha 3 wapo tu wanapeta.El akinufaika na marupurupu ya waziri mkuu mstaafu wakati alifukuzwa.Bongo lala tupo tunamshangilia na kumsifu kwa mapambio eti anafaa kuwa rais! Tuje kwa huyu mizengo pinda alipewa sifa kibao eti mchapa kazi,mwadilifu,...kumbe ilikuwa nguvu ya soda.Sasa hivi amejidhihirisha ni mwoga,mwongo.Jana amesema uongo mwingine eti hajui waziri anayeishi hotelini akiigharimu serikal mamilion ya fedha.Ningekuwa mimi ndo nina mamlaka waongo dawa yao bakora tano za uhakika
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Haki daima utaichelewesha lakini itakuja tu . Mbinu zote za hila za kijinga zitashindwa kabisa . Waache anguko lao litakuwa baya mno
   
 7. Wa Mjengoni

  Wa Mjengoni JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Code:
  
  
  Ndio Mkuu Lunyungu, iko siku wanabana lakini wataachia tu, siku ipo karibu.
   
 8. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60

  Kasema kuwa gov ya ccm inaua watu na kuwapiga na wengine wamejeruhiwa...Lukuvu akaomba mwongozo wa speaker ndo akaambiwa afute kauli au athibitishe naye akasema atathibitisha hata hivyo alitolea mfano wa mauji ya Arusha na Nyamongo na maandamano ya wanafunzi wa UDOM kuwa walipigwa na wengine wamevunjwa mikono na miguu...Pia aliongea kuwa waziri mkuu alienda iringa na ndege mbili na msafara wa magari 50 na kusimamisha magari ya dar iringa na mbeya kwa saa5 so akasema hiyo ilisababisha uchumi usimame kwa saa hizo lakini pia akasema ni matumizi mabaya ya fedha za wananchi...Lukuvi akasimama tena na kutaka mchungaji athibishe na kusema anajua wachungaji huchunga kondoo lakini hajui huyu anachunga nini...Mwenyekiti akampa nafasi mchungaji naye kabla ya kujibu akaomba lukuvi afute kauli kwa kumwita mchungaji gani kwani kama hamchungi yeye kuna watu wengine anawachunga na wanamheshimu so kauli ya lukuvi ni kumdhalilisha..Hata hivyo mwenyekiti yule mama wa peramiho akasema anachotaka ni mchungaji kujibu kama anauthibitisho na hayo mengine na yeye afutae utaratibu ndipo mchungaji akasema sio kwamba waziri mkuu alipanda ndege mbili kwani hilo jambo kwa akili za kawaida haliwezekani ala alichosema ni kuwa waziri mkuu alikuja na msafara wa ndege mbili na pia katika msafara wa magari kulikuwa na magari 50 including la mchungaji, hapo tena mwenyekiti nimekumbuka jina jenista mhagama kama sikosei akaingilia na kutaka mchungaji aseme kama anauthibitisho au afute kauli na mchungaji akasema anauthibitisho...Hata hivyo baada ya hayo naye mchungaji akaomba mwongozo lakini mwenyekiti hakumtendea haki kwani alimnyima nafasi na hivyo kuruhusu mkono kuchangia kama nitakuwa sijakosea...Hata hivyo mkono akiwa anachangia, niliamua kuondoka na kufanya shughuli zingine so sijui kitu gani kiliendelea...Kuna lingine alilisema mchungaji mwanzoni kabisa,kuwa upinzani haupingi kuwa katika umri wa miaka 50 hakuna kitu kilichofanyika na kusema kinachopingwa ni kuona kuwa mtu mzima wa miaka 50 anafanya mambo ya mtoto wa miaka miwili ambaye anamtegemea mzazi wake kwa kila kitu...hili nalo olesendeka akaomba taarifa ya mwenyeketi kuwa mchungaji amelidhalilisha taifa pamoja na mwalimu nyerere...na kaomba kiti cha spika kitoe ufafanuzi kwani lugha zinazotumika bungeni siku hizi ni mbaya na zina kera...Mwenyekiti akakubaliana na olesendeka na kusema atawasiliana na spka na katika kipindi hiki wanachofanyia marekebisho kanuni za bunge basi waangalie ni namna gani watazuia hilo...
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,276
  Trophy Points: 280
  Mods wa JF naomba niwatukane viherehere wa kuomba muongozo/utaratibu/taarifa kila mara mpaka bunge linakosa ladha,
  nasubiri jibu!!
   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  we tukana bana tutakusaidia bani,tumechoka na kuomba hayo wayaombayo bungeni
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Lukuvi yaani kauliza eti inawezekanaje PM kuja katika ndege mbili na magari 50 aliyapandaje?
  Ivi ilo nalo swali? nadhani Lukuvi alitaka kutupotezea tuu ila tumemstukia imekula kwake
   
 12. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Huyu rukuvi asamehewe tu, mmesahau yuko katika orodha ya mafisadi wa elimu. vyeti feki kibao bungeni safari hii.
   
 13. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Eti lukuv anakiri hajui sheria kama tundu, lakini ana agiu kisheria. Dah, kuna vituko!
   
 14. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ni kweli yuko among the list of shame, vyeti vyake, hana ujasiri wa kuvionyesha sijui alisoma ngumbalu
   
 15. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakumbuke ule usemi usemao "U can fool people, but U cannot fool them always"
   
 16. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kwamba wananchi tungependa kusikia matokeo ya uongo wa Mh. Lema dhidi ya Pinda na maamuzi ya Spika juu ya hili suala. Inabidi wapambanaji wa CDM waulizie majibu ya hii kitu huko bungeni la sivyo huyo mama ataendeleza mtindo wake wa kuwakingia kifua wana magamba!!!!

  Katika historia ya nchi hii, hatujawahi kuwa na Spika hopeless kama huyu!!!

  Tiba
   
Loading...