Ibada ni ya M'Mungu hakua akimfanyia binadam yyt so kama hakua akiabudu sisi jukumu letu kumfanyia ibada ya mwisho na kumzika na sio kwakua alikua hashiriki basi tumsusie..hakua akishiriki atakwenda jibu kwa alie amrisha tufanye ibada cz hata sie kuna baadhi ya siku tulikua tukikosa kwa dharura...
Nimepitia Almost post zote lakini sijaona mahala paliposemwa kua ''muongo wakat jamaa yupo ndani kuna msaada hata wa kukuliwaza kwa maneno ulitolewa ukiacha mbali tu kwenda kumtembelea huko alipokua kashikiliwa....''
Acha tuone kama sie wengine tutaweza toka hyo siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.