Video: Ni nani aliye-record hili tukio la Ujambazi wa NMB Bank Mbeya?

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,397
9,246
Nimetumiwa hii video, sijui ni tukio lilitukia lini ....Ninachojiuliza nani aliyerecord? Pia naombeni kusahihishwa kama ni tukio halisi au la..


================

Update;

Ufafanuzi kutoka Jeshi la Polisi juu ya video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

 
Nimeona,ila nimeona km ni movie na cyo tukio halisi,hasa ukiangalia camera movement,na pia pale nje wakati gari ya majambaz inaondoka kulikuwa na askari. Zaidi ya yote kuna inset ya traiffic light it means ni ishu ambayo iliandaliwa muswada.
 
Siyo tukio halisi ni zoezi la kukabili ujambazi.
Majambazi gani wanaiba kwa staiili ile. Huu ni ujinga kama bongo movie. Tukio halisi huwa linatisha sio polisi kudanganya maigizo. Tukio la ujambazi ni suala la death na life, hadi polisi huwa wanasepa. Kwanza muda wa gari nyeupe ya polisi saloon kutoka na landrover kufika wasingepatikana.
 
Hivi kweli mtu mzima unashindwa kujua tukio la ukweli na lakuigiza??
Mwisho na majina wakaweka walioshiriki
 
Hili lilikua ni jaribio la utayari wa vyombo vya usalama katika matukio kama hayo.. liliandaliwa na mkuu wa polisi mkoa wa mbeya.. maza aliekimbia yule wangekua majambazi wa ukweli wacngemwachia..
All in all haikurekodiwa na cctv camera, imerekodiwa horizontally na mtu
 
Back
Top Bottom