Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,503
Weusi wanaokuwa shot unarmed na polisi ni mara mbili ya whites wanaokuwa shot. Do your research utagundua hili. Ni fact.Weusi wangapi ambao hawakuwa na silaha wameuwawa na polisi ukilinganisha na watu wengine waliouwawa na polisi bila kuwa na silaha?
Badala wa kusema wengi, kwa nini hautaji idadi? Taja idadi na siyo kutoa tu kauli za jumla jumla.
Unasema nikupe takwimu halafu kwa wakati huo huo ushahitimisha kwamba weusi wanaouawa ni wengi! Unashangaza.
Wewe weka takwimu zako halafu tuzijadili hapa. Kama huna sema huna na nitaelewa unaongozwa na hisia na sitakuwa na tatizo na hilo.
But saying 'wengi' doesn't cut it.
Na hilo la polisi weusi kuua weusi wasio na silaha nalo lina harufu ya ubaguzi? Naomba ujibu hili swali moja kwa moja, tafadhali.
Polisi ni polisi tu, awe mzungu au mweusi. Kwani polisi weusi hawawezi kuwa wabaguzi?
Kama watu wanapigwa risasi kwa kuhisiwa tu kuwa ni wahalifu au wanaishi maeneo yenye uhalifu (kitu ambacho na wewe umekisema ingawa umeogopa kukubali moja kwa moja), basi kuna tatizo ktk utendaji wa polisi. Ni sawa sawa na kumuona kila mwarabu gaidi.
Polisi wanaonekana wana pre conceived opinion kuwa watu weusi ni wahalifu. Huu mtazamo ni hatari kwa usalama wa weusi, na unasambaa hadi kwa raia na itapelekea hata mweusi amuone mweusi mwenzake ni muhalifu tu bila sababu ya msingi.