Recent content by RUTARE

  1. R

    JamiiForums Tanzania Zainabu Kawawa

    wandugu tuwe realistic tatizo sio viti maalum kwani kuna wengine wanachangia vizuri ingawa ni wachache sana ila huyu binti kawawa leo kafanya vichechekesho kalipotezea taifa muda kwa kuongea kitu kilekile akikirudia kwa kiswangilish mwishoni anajitapa kuwa alizaliwa akiwa politician ana uwezo wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais zile ahadi zetu vipi? Muda unakwenda sana

    wani huwezi kwamuda uliobaki kufanikiwa kununua meli tatu kubwa kuliko MV Bukoba kwenye maziwa matatu yaani Victoria, Tanganyika na Nyasa. Na sioni pia uwezekano wa wewe kuibadilisha Kigoma kuwa kama Dubai kama ulivyoahidi mwaka juzi. Mwinjilisti mmoja akihubiri akawambia washirika wake kwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

    afadhali wewe umechangia kiukomavu kabisa naona wengine wanataka kujenga watu fulani na kubomoa wengine kwa roho ya ubinafsi
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili waziri wa nishati na madini hakuwa sawa

    Hata mimi nimemshangaa prof. ameshakuwa mwanasiasa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ktk Kumuaga Bob: CHADEMA hawakuzingatia Utaifa

    UKIMWI, UKIRO, UKIA Hii ni mpya
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nape alinunua kadi za CHADEMA

    Nimeshikitishwa sana na hizo picha za mabasi. Siku ile ya mkutano wa CDM watu tulitoka mikoa jirani kwa nauli zetu lakini CCM imeona mtaji wao ni dhiki ya watu wa Mabwepande? Eee Mungu mwenye enzi okoa Tanzania.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jambo leo mnapotosha jamii.

    Tuache jamani kununua magazeti yanayopotosha jamii ili tusiwe sehemu ya kuimarisha biashara zao za upotoshaji kwa manufaa yao
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jambo leo mnapotosha jamii.

    Tache jamani kununua magazeti yanayopotosha jamii ili tusiwe sehemu ya kuimarisha biashara zao za upotoshaji kwa manufaa yao
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dr Walid Amani Kabourou yuko wapi?

    Ni kweli alitukwaza nikikumbuka nilivyolala na njaa kwa ajili yake ili aende mjengoni, Hata hivyo kama Mungu atamsamehe atakuwa ametubu na sisi itabidi tumsamehe lakini kuomba kwenda kwa shetani utakuwa umepata hasara ya milele jitahidi kwa kadri uwezavyo usiende huko hebu pacheki au kupasikia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dr Walid Amani Kabourou yuko wapi?

    Vijana wa Kigoma wanamwita pimbi ukiwakumbusha habari za Kaburou wapata kichefuchefu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mheshimiwa Wenje juu ya Mwenyekiti wa NCCR.

    Ni Moses Machali a.k.a ccm "B"
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nna swali kwa wasichana wacheza shoo na Wasanii

    You are perfectly alright
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    ni henry orauya clemens
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Namshauri Zito asiendele kujishikamanisha na hawa wanafiki akina Kigwangala na Makamba watu walimwambia aache kukaribiana nao yeye akadai hao ni wapiganaji walioweka maslahi ya vijana na taifa mbele lakini ndiyo wa kwanza kuisariti na pia kuipinga hoja yake ambayo ingeleta ukombozi halisi
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais wa Tanganyika ningeunganisha Wizara......

    Hilo baraza ni kubwa endelea kulipunguza wabakie 20 au 18
Back
Top Bottom