Wakati wa sasa za kiharakati za mapambano umekwisha. Huu ni wakati wa kujenga hoja zenye nguvu na faida kwa nchi. Vurugu mwisho wa siku huwagharimu wananchi wa kawaida.
Habari zilizotufikia ni kwamba chama kimeamua kuepuka lawama ya tuhuma kwamba ni chama cha kaskazini. Wameamua kumpa msomi maarufu gwiji la sheria. Msomi huyu ambaye anasemekana kuwa yupo CHADEMA kwa kazi maalum. Taarifa hizi zitawafurahisha sana CCM ksbb walikuwa wakisitishwa sana na muelekeo...
Ina maana wewe hujui kama mayahudi walilaaniwa na Mwenyezimungu kwa kukataa manabii na kuwaua baadhi yako? Kumbuka Palestrina wapi waislamu na wakristo na wrote wanateswa na utawala dhalimu wa kiyahudi. Tatizo hamsomi mkayajua mambo. Wakristo wengi wanawatetea mayahudi wakidhani ni wenzao. Wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.