Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Amen Kamanda...Usiwe na Hofu...Tumepata Katibu Jembe haswa
 
Tunamsubiri huyo Katibu Mkuu makini.
Tafadhali usituletee mroho wa madaraka,mnafiki na kigeugeu kama aliyejiuzulu.
Chama kinahitaji mtu makini atakayekijenga chama kuelekea 2020.
Kila la kheyr.

Ni vigumu kumpata mtu aliyekamilika miongoni mwa wanadamu cha msingi atakayeirithi kiti cha Dr Slaa apewe Job description na kufanya kazi kwa kuzingatia wajibu wake !!!!!!!!!!!
 
Haaaaahaaaaaahaaaaaaa, eeeeeeeh, uuuuuwi, nimecheka sana , Nyie chadema mnachekeshaga kweli, eti kuchukua nchi 2035, duh, kivipi sasa,
 
Ninamsubiri kwa hamu katibu mkuu mpya, naamini hakutakuwa na figisu na amani itawale
 
Mbowe ni opportunist tu, anaandaa gia za kubadili angani, hana lolote.
 
Habari zilizotufikia ni kwamba chama kimeamua kuepuka lawama ya tuhuma kwamba ni chama cha kaskazini. Wameamua kumpa msomi maarufu gwiji la sheria. Msomi huyu ambaye anasemekana kuwa yupo CHADEMA kwa kazi maalum. Taarifa hizi zitawafurahisha sana CCM ksbb walikuwa wakisitishwa sana na muelekeo wa chama pinzani kuwa ni wa fujo. Kwa kupatikana katibu msomi na makini kama Prof Safari kutapeleka mbele demokrasia.
 
Kwa nini wasimpe Kingunge Ngombale wa Mwilu Ukatibu mkuu , mbona huyu kada wa Kyadema anafaaa ,
 
Habari zilizotufikia ni kwamba chama kimeamua kuepuka lawama ya tuhuma kwamba ni chama cha kaskazini. Wameamua kumpa msomi maarufu gwiji la sheria. Msomi huyu ambaye anasemekana kuwa yupo CHADEMA kwa kazi maalum. Taarifa hizi zitawafurahisha sana CCM ksbb walikuwa wakisitishwa sana na muelekeo wa chama pinzani kuwa ni wa fujo. Kwa kupatikana katibu msomi na makini kama Prof Safari kutapeleka mbele demokrasia.
Usiongope watu
 
Si asavali wampe sugu tu sasa au?
Sisi tunamtaka sugu buana!!
 
Chama chenyewe kishapoteza mwelekeo na kinaelekea kufa lakini bado mnaleta habari zao humu kujaza Ukumbi, mmekombatia mafisadi na mnazidi Pokea Wezi waliotumbuliwa na MagufuliMagufuli.
 
Kama taarifa hii ni ya ukweli basi ni jambo la kheri maana Prof Safari ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo....
 
Lumumba wamejaa utadhani Nepi na Marope ndio wanapendekezwa
 
Back
Top Bottom