magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,337
Wajabodi
Salaam,
Kuna kitu me sikielewi upande wa changu cha CHADEMA,hivi kinamsemaji kweli?? Kilichonifanya niulize ni matukio haya mawili yaliyotokea siku chache zilizopita.
Moja la kuchaguliwa kwa katibu mkuu wa chama hicho na la pili la meya mpya wa jiji la Dar.
Alipochaguliwa katibu mkuu mpya wa Chadema,hapa jamvini,kwenye magazeti,radio na televisheni alipambwa kwa CV yake. Hapa peke yake mods walipata shida ya kuunganisha thread zilizoanzishwa kuhusu cv ya katibu mkuu huyo.
Lkn baada ya kushinda uchaguzi wa meya wa Dar kwa mara ya kwanza,hatujaona hizo mbwembwe za CV km ilivyokuwa kwa katibu mkuu. Na cha ajabu kabisa hata waliojaribu kuuliza kuhusu cv hiyo wameambulia matusi.
Binafsi nashangazwa na hii idara ya habari ya chadema ambayo msemaji wake ni Tumaini Makene kwa nini imekuwa hivi siku za karibuni..!!?
Hivi chadema hii ambayo ilikuwa na mashabiki zaidi 80% hapa jf leo inapata kigugumizi kuweka cv ya meya wa jiji la dar!!?? Tabia hii imeanzia kwa mbunge wa ubungo,lkn akina makene wakaja na cv ya katibu wao tena na kujibu kejeli ya hamis kigwangwala kuhusu elimu ya katibu huyo. Iweje iwe nongwa kwa meya??
Nawasilisha...