R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Kwa hali isiyotegemewa jana mahakama ya kisutu , mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliambatana na Mchungaji Gwajima na kukaa naye Mahakamani na kusaidia baadhi ya maswali na taratibu , na mwansheria wa CHADEMA John Malya ndio anaye mtetea Mchungaji Gwajima.
Hii imetafsiliwa na baadhi ya wanachama ni juhudi za kumuunga mkono Mchungaji Gwajima ili ashinde kesi dhidi ya Kardinali Pengo.
Na pindi akishinda, either Gwajima atalipwa fidia ya kuendesha kesi kwa kufungua kesi ya madai.