Ukiwa na nyota ya pesa huyu Jack anayo kuna kipindi Alichoka mbaya sasa karudi tena I hope atakuwa wise this time. Jack alikuwa footballer.mzuri sana nilimjua Shaaban Robert kabla kufukuzwa kwenda Kinondoni. Break dance kabda utotoni
Inawezekana wewe ndio ujui maana ya slums. Tanzania hakuna slums ipo Kenya Kibira google utajua nazungumzia nini? Nyingine ipo India na Nigeria majina nimeyasahau. Watu wanaishi katika mazingira magumu sana wanaokota vitu jalalani ili kuweza kukidhi mahitaji ya kila siku. Sisi bado hatujafikia...
Upori labda unakusumbua wewe. Usione jina nalotumia hapo ukafikiri mluga mluga i am international nimeshakaa dunia ya kwanza miaka mingi sana. Anyway jiulize swali moja pamoja matakwimu yako ambayo hayana reference kwa nini Wakenya wanakimbilia Tanzania, na sisi hatuendi huko kwao?
Tupe hiyo analysis mkuu ila kwa mtazamo tu utaona sis afadhali, Umeshawahi kuona kuna slam Tanzania? Kenya inayo slum, slum inashiria kuwa kuna maisha magumu sana kwa watu wa chini. Wakatu huo huo kuna wachache ndio wanafaidi
Sasa unafikiri Wakenya wengi wana maisha mazuri? Ni wachache wako vizuri. Asilimia kubwa wana maisha ya shida. Tanzania tuko vizuri kimaisha mtu yoyote anaweza miliki ardhi. Kenya subutu ni matajiri tu
Hivi watu wanajua maana ya nchi kukumbwa na njaa? Kama mnakumbuka Ethiopia walivyokumbwa na njaa. Sema labda kuna hali ya ukame tufanyaje au tupande mazao gani. Na hi hali haipo nchi nzima
Mtoa mada uelewi cheo ubalozi vp aina 2 unaweza kuwa balozi na usipangie nchi na kuwa balozi ukapangiwa nchi. Hilo swala la kutumbua majipu tumwachie Magufuli na majipu yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.