Saa jamaa yangu mkeo hukunkuta bikra then unamuuliza maswali ya zilipendwa ukitegemea nini zaidi ya kuja kuumiaHabari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.
Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.
Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.
Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniwahi.badala mkae ndani muwaze maendeleo mnakaa kudiscuss uzinzi mliofanya zamani
Acha utoto unauliza ikusaidie nini! Kama ameliwa kabla ya ndoa hiyo hakuhusu! Anzia ulipooa, hiyo hainaga makombo40??? Duuuh, okay kuanzia jana nimejifunza kutouliza lolote linalohusu past yake whether zuri au baya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann mcjadili mambo ya shule na marafik zenu mbaki mnadiscus mambo ya wanaume waliopita wanakuhusu nn kama co umbeaSi kila muda mna discuss maendeleo tu, mtakua maroboti sasa... Kuna muda mnajiachia na mastory ya miaka hiyooo whether kwa kukumbushiana through picha za zamani au hata story tu.. Sasa katika story hizo ndo anaamua kufunguka kitu ambacho hata hukuwazia ndo maumivu nayoyahisi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo wa 4 kwenye hiyo list ni mimi si alikwambia jamaa flani hv alikuwa na rasta enzi hizo ila siku hz sababu ya utu uzima amezinyoa co ee sasa ukome kufukua makaburi mengine utahindwa kuyafukia. by the way ilikua kitambo cku hz kla m2 na familia yake,Hahahahahahaha kabla hatujaanza uhusiano miaka hiyo tukiwa marafiki tu alinitajia list ya aliodate nao na waliomgegeda ila huyo mmoja hakumtaja ndo kamtaja jana, itakua ana sababu zake whether ndo alimkuna vizuri yote yanawezekana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe umezidi kuuliza maswali acha yakukute pole ndio ndoa hiyo vumilianeni tu mpaka kifo
tena hakuna swali linaniuzi kama kuulizwa hbr za wanaume wangu waliopita waulizaji wote nawaonaga washamba