Nimecheka kwasauti kuu mmno mkuuuMmmmh, mpaka kojoleo lishindwe kusimama ndio nahisi nitapumzika kutongoza..!!!
Ha ha ha ha ha.... Kuheshimiana muhimu.sasa mtu unakuja kunitongoza mzoefu kama mimi kidhaifu dhaifu huna sera huna hoja
Umeolewa?habari za usiku wana Jf.
samahani tujuzane kama na nyie mmewahi kujihisi kuchoka kutongozwa / kutongoza na umri gani mlijihisi kuchoka hiyo hali kiasi kwamba ukitongozwa / tongoza unazarau au kupotezea yaani upate jibu la ndio au haapana kwako haidhuru wala haisumbui akili.
kama ukimkubalia / kubaliwa napo unakuwa kwenye relation upo kimzahamzaha na kutojali kwingi.
binafsi hiyo hali ninayo kitambo sana mtu atanipenda ila mimi simtilii akilini kiivo
tutapanga meeting yaani ntamjibu hadi dakika ntayofikia meeting ilipo lakini siku ikifika siendi au ntachelewa nikifika nipo juujuu mpaka nilichoitiwa siambiwi au akiniambia naitikia tu moyoni nasema ni utani tu.
nikitoka hapo nikikaa mbali nae siku 2 au 3 nishasahau alichonisisitiza tukionana inabidiaanze upya.
sasa huwanajiuliza huwa kuna mda unachoka kucare au kutongozwa /tongoza?
word!!!!!!!Ukifika umri wa kusaka pesa kwa pirika pirika kibao huo upuuzi wa kujali mapenz hua unaisha hasa kwa watu tuliojiajili kama sisi.Ila kwa wale wa maofisini hua hawaachi
Mi natongoza mala kibao sana ila haipiti siku 4 nishawasahau na kuwapotezea
Tatizo ni moja tu MAJUKUMU NA VIKWAZO VINGI vya life hupunguza mambo yasiyo ya msingi
ulimpa namba yako mkuu?kuna jamaa leo kanitongoza kishamba sana .eti anadai jana aliniona .nikamuuliza wapi akaniambia sehemu flani nikamuuliza mimi akasema ndio tena nilikuwa nimevaa nguo hizohizo .nimemind vibaya kweli nivae nguo moja jana na leo jamani? amenipigia simu hapa sijapokea nimemtumia sms ukome kumpigia mke wangu simu
Ukajiona mjanja basi?heehhehekuna jamaa leo kanitongoza kishamba sana .eti anadai jana aliniona .nikamuuliza wapi akaniambia sehemu flani nikamuuliza mimi akasema ndio tena nilikuwa nimevaa nguo hizohizo .nimemind vibaya kweli nivae nguo moja jana na leo jamani? amenipigia simu hapa sijapokea nimemtumia sms ukome kumpigia mke wangu simu
Ukipata nafasi njoo inbox kidogo inawezekana ukawa wanijua kwelina wew unajisahau sana umesahau kuwa nakujua wew
ha ha ha
kumbee na mm naanza kuhisi kuwa wewe ni mtu fulanina wew unajisahau sana umesahau kuwa nakujua wew
ha ha ha
Hata unapogegedwa /gegeda huwa bado unaona utani utani???habari za usiku wana Jf.
samahani tujuzane kama na nyie mmewahi kujihisi kuchoka kutongozwa / kutongoza na umri gani mlijihisi kuchoka hiyo hali kiasi kwamba ukitongozwa / tongoza unazarau au kupotezea yaani upate jibu la ndio au haapana kwako haidhuru wala haisumbui akili.
kama ukimkubalia / kubaliwa napo unakuwa kwenye relation upo kimzahamzaha na kutojali kwingi.
binafsi hiyo hali ninayo kitambo sana mtu atanipenda ila mimi simtilii akilini kiivo
tutapanga meeting yaani ntamjibu hadi dakika ntayofikia meeting ilipo lakini siku ikifika siendi au ntachelewa nikifika nipo juujuu mpaka nilichoitiwa siambiwi au akiniambia naitikia tu moyoni nasema ni utani tu.
nikitoka hapo nikikaa mbali nae siku 2 au 3 nishasahau alichonisisitiza tukionana inabidiaanze upya.
sasa huwanajiuliza huwa kuna mda unachoka kucare au kutongozwa /tongoza?
Angekusifia akakupa nahela yamafuta kama Laki 3 vipi mpaka mda huu mngefikia wapi???kuna jamaa leo kanitongoza kishamba sana .eti anadai jana aliniona .nikamuuliza wapi akaniambia sehemu flani nikamuuliza mimi akasema ndio tena nilikuwa nimevaa nguo hizohizo .nimemind vibaya kweli nivae nguo moja jana na leo jamani? amenipigia simu hapa sijapokea nimemtumia sms ukome kumpigia mke wangu simu
Siku hizi kuna kutongoza jamani?habari za usiku wana Jf.